Tukumbuke hii nukuu ya Charles Kitwanga kutoka katika Hansard ya BungeRwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.
Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
Tukumbuke hii nukuu ya Charles Kitwanga kutoka katika Hansard ya BungeView attachment 1879453
Yaaani viongozi wetu na watu ambao tumewaamini wanatuangusha sanawatu wanawaza kwanza watapata wapi chao hapo weka 6month halafu then ndio wawaze investment italeta manufaa gani kwa nchi..
Hivi huyu Prof naye yupo? Anafanya kazi gani?Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Waziri na mbunge!Hivi huyu Prof naye yupo? Anafanya kazi gani?
Msukuma na kibajaji ni wapiga domo kama manara,Kishimba ndo msomi ana phd ya exposure sababu katembea nchi nyingi kibiasharaProfesa Kitila Mkumbo, Prof Kabudi, mwigulu Nchemba, doto biteko,Prof Ndalichako Joyce, Dorothy Gwajima na Godwin mollel ni afadhali Joseph Musukuma
Mama ana wakati mgumu sana. Hawa ndio wasaidizi wake π π π π π π π πWaziri na mbunge!
Dangote alilalamika kwny mkutano wa Davos mbele ya matajiri wenzake Kwamba serikali ya Tz ilikua unataka hisa kwny Co.yake ya Dangote ndio maana ikawa inamuwekea mazingira magumu ya kibiashara.sera zetu za kishamba.. hata aende akakae miaka mia moja.. kama hatujabadilisha sera zetu pilocy na hasa hasa katiba.. fikiria muwekezaji akutane na jitu kama sabaya.. unadhani hawahadithiani?
wana forum zao wanaambiana kuwa pale sio ..
Kumbe Rwanda wanatengeneza magari? ''Akili ni mali kila mtu ana zake.''Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hawaundi bali Wanatengeneza.Kumbe Rwanda wanatengeneza magari? ''Akili ni mali kila mtu ana zake.''
Mwenye picha ya ilo tela tafadhaliEti aache kuzindua matera
Ndiho tunachotakiwa kukifanya sisi pia, kuvutia wawekezaji. Tuna sera mbovu sana. Ujamaa bado unatutesa sanaRwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.
Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
Waziri awatembelee hawa.Mbona benbros simba trailers, quality motors, dar coach, BM motors, scania tanzania, wanaunda magari miaka mingi,