Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Mkumbo.jpg

Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.

Why hao hao tu kwa kila kitu
 
Imethibitika, Prof kitila Mkumbo kupitia ACT wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la afrika mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT inaviwajana na rasilimali watu ya kutosha

Why hao hao tu kwa kila kitu
Ameshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....

Bavichaa acheni uzandiki
 
Imethibitika, Prof kitila Mkumbo kupitia ACT wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la afrika mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT inaviwajana na rasilimali watu ya kutosha

Why hao hao tu kwa kila kitu
Nimepata mshangao mkubwa. Hivi huko kwenye siasa kuna nini kwa wanataaluma hawa
 
Imethibitika, Prof kitila Mkumbo kupitia ACT wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la afrika mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT inaviwajana na rasilimali watu ya kutosha

Why hao hao tu kwa kila kitu
TAMAA !
 
njaa, njaa, njaa............... chaki ni vumbi tu!
 
Imethibitika, Prof kitila Mkumbo kupitia ACT wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la afrika mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT inaviwajana na rasilimali watu ya kutosha

Why hao hao tu kwa kila kitu

Mwambie masha kajizalilisha naona kakosa kiki ya kutokea kaona ajaribu ubunge
 
Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.

Why hao hao tu kwa kila kitu
Awaachie Vijana kwani ni kazi ya kumwaga zege?
 
Back
Top Bottom