jiwemton
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 326
- 520
Kuna helaNimepata mshangao mkubwa. Hivi huko kwenye siasa kuna nini kwa wanataaluma hawa
Kuna helaNimepata mshangao mkubwa. Hivi huko kwenye siasa kuna nini kwa wanataaluma hawa
Anagombea kupitia chama gani??? Nafasi zishajaa.CCM wamepewa nafasi 6, Chadema 2 na CUF 1. Wawakilishi ni 9 tu. Hivyo vyama vimepewa nafasi kutokana na idadi ya wabunge wao bungeni.ACT haikupewa nafasi kwa kuwa na mtu 1 bungeniImethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki
My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.
Why hao hao tu kwa kila kitu
Kila chama chenye mwakilishi bungeni kina haki ya kutoa mgombea wa bunge la africa mashariki!Anagombea kupitia chama gani??? Nafasi zishajaa.CCM wamepewa nafasi 6, Chadema 2 na CUF 1. Wawakilishi ni 9 tu. Hivyo vyama vimepewa nafasi kutokana na idadi ya wabunge wao bungeni.ACT haikupewa nafasi kwa kuwa na mtu 1 bungeni
Atauwezaje ubunge wakati hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
..."mti wenye matunda........"Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki
My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.
Why hao hao tu kwa kila kitu
Ataweza tu, mbona wengi wameweza?Atauwezaje ubunge wakati hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
Bavicha bana!Yaani unasema Pofessor ameshuka wakati hata form four hujafika!hii inapatikana Tanzania tuImethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki
My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.
Why hao hao tu kwa kila kitu
Wenje na Masha ndio hawauziki wamekataliwa mpaka na wananchi wa kwenye majimbo yao
Waluko kwani jamaa ni mzeeeImethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki
My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.
Why hao hao tu kwa kila kitu
Lakini kumbuka huyu ni mwanazuoni nguliAmeshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....
Bavichaa acheni uzandiki
Yaani Prof Majimarefu mganga wa kienyeji kawa mbunge, Prof Mkumbo ashindwe?Atauwezaje ubunge wakati hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
Huko alikoenda Masha kachemka sipati picha siku ya kampeni anajieleza kwa kile kingereza chake cha kimarekani koko kile cha kuongea ukiwa umebana pua na ukiongea kwa mbwembwe halafu atatoka pale kapa bila kupata kura za kushinda. Kiingereza cha Masha kinaelekea ukingoni kwa waswahili bungeni kumpiga chini na kiingereza chakeMwambie masha kajizalilisha naona kakosa kiki ya kutokea kaona ajaribu ubunge