Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

Hapa ndipo nnapogombana na haya manyumbu,yaani ccm unges.e chadema ndio unges.e kipeuo cha pili
Pole sana. Lakini si vema kutoa lugha mbaya.
WATAOMBA POO TU, WACHA ACT TUJIIMARISHE KWA KUKIJENGA CHAMA.
 
Ameshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....

Bavichaa acheni uzandiki
Hawa cdm hovyo kabisa
 
Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.

Why hao hao tu kwa kila kitu
Hawa ma profu hawa njaa tu ... huyu kitila mkumbo atakuja kua kama lipumba mark my words.
 
Hawa ma profu hawa njaa tu ... huyu kitila mkumbo atakuja kua kama lipumba mark my words.
Hupaswi kulaumiwa kwani upeo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia.
Hata macho yana upeo fulani wa kuona.
 
Maprofesa wa TZ ni Mizigo,Yaani anaacha kufundisha Chuo anaenda Kukimbilia UBunge wa EALA kisa Mshahara Mkubwa,Kweli ameshindwa kutumia elimu yake kupata fedha zaidi za huko EALA? Hizo nafasi ni za Kina Le Mutuz na Kina BASHITE.
Dah!
Lakini kila mtu ana upeo wake wa kuelewa hupaswi kulaumiwa.
 
Ameshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....

Bavichaa acheni uzandiki
Mwl twahil waeleze hao. Kwa wagombea wa kutoka upinzani mie naona wabunge wote watuchagulie hawa hapa
1.Prof Kitila
2.Mnyaa
3.Msando kama atagombea
 
Kitila ana uzee gani wakti 45 ndo anatimiza? Bunge linatakiwa like na watu wenye uelewa tofauti na hasa bunge la Africa mashariki ambalo wawakilishi wa nakwenda kutetea sera na maslahi ya nchi zao. Kwa hiyo wasomi wanaweza kutuwakilisha vizuri. Kwani ni Tanzania tu mbao wasomi huge ukiangalia siasa? Marekani Al Gore hakuwa professor? Irani Alhamaddijin hakuwa professor? Malawi rais siyo professor.
 
sheria za uchaguzi bunge la Eala. wawakilishi. huchaguliwa na wabunge wa nchi husika kwa wingi wa wabunge kwa asilimia na kwa tz. wanatakiwa 9. ccm 6 cdm 2 na cuf 1 kwa sheria zilizopo sasa.
 
I CAN'T. SIJAWAI RUHUSU KICHWA CHANGU KUAMINI UTABIRI.
Nazani Prof angegombea kwa chama unachokiamini wewe ungemuita jembe.
Unamuona huyu Bwana MULLAORIGINAL?
4eb5bffeb1f6202fd8db86edd527e786.jpg
 
Mwl twahil waeleze hao. Kwa wagombea wa kutoka upinzani mie naona wabunge wote watuchagulie hawa hapa
1.Prof Kitila
2.Mnyaa
3.Msando kama atagombea
Where you are.
Kama unajitambua huwezi kumshangilia mtu kama masha alafu ukamtusi Kitila.
 
Umetumia haki yako ya kikatiba, lakini angalia hao wanaokufanya uichukie ACT, kuna wengine wameshaanza kuhudhuria mikutano yetu.
Nikizielewa sera zenu na misimamo yenu, na mimi nitakuja tu.. hii si democrasia
 
Back
Top Bottom