Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

Ameshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....

Bavichaa acheni uzandiki
Daaah bonge la dongo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hauziki!
Hii ataanguka tu na amejichafulia cv yake, hivi act haina wanachama wengine zaidi
Tuache Ushabiki, Mkumbo anauzika kwa wapiga kura. Kumbuka wengi ni CCM, huyu Prof. Mkumbo amekuwa akiendesha siasa za kistaarabu sana na kwa kiasi kikubwa hazina madhara sana kwa CCM hivo naamini huyu ndio mgombea atakayepata kura nyingi toka CCM.
 
Maprofesa wa TZ ni Mizigo,Yaani anaacha kufundisha Chuo anaenda Kukimbilia UBunge wa EALA kisa Mshahara Mkubwa,Kweli ameshindwa kutumia elimu yake kupata fedha zaidi za huko EALA? Hizo nafasi ni za Kina Le Mutuz na Kina BASHITE.
 
Atauwezaje ubunge wakati hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
JPM hajawah kuwa mjumbe ila 1995 kawa mbunge
Hajawah kuwa mwenyekiti wa chama even.wa shina now ni mwenyekiti wa TAIFA
 
Anachotafta ni kuwakilisha chama chake maana hawezi kushinda. Washindi wote watakuwa ni wa kutoka ccm. Au kura hazipigwi na wabunge wa jmt?
Hapana kunatakiwa kuwe mchanganyiko watakuwemo na wabunge wa upinzani CCM tutawapigia wale wa upinzani ambao huwa yunaheshimiana wale wanaojua kuwa uchaguzi ukiisha unatakiwa kushirikiana na chama tawala kilichoshinda kujenga nchi. Wale ambao dhana hii hawana CCM hatuwapi kura. Na ambao hawatapewa kura kabisa na CCM ni Masha na Wenje
 
Ukiweka kando mambo yanayosemwa kumhusu kama usaliti n. K. prof mkumbo ni mojawapo ya vichwa makini sana vinavyohitajika bunge la EA kuhakikisha maslahi ya Tanzania yanasimamiwa vyema
 
Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.

Why hao hao tu kwa kila kitu
Bora huyu yeye hajawahi kuwa mbunge wa aina yeyote, wale wa team wema (chadema) wenyewe wamepata kuwa wabunge wa jamhuri ya wadanganyika na zaidi wakashindwa kutetea viti vyao uchaguzi mkuu uliofuata
kwani ameacha kufundisha!!!
 
Imethibitika, Prof. Kitila Mkumbo kupitia ACT Wazalendo amepitishwa kuwa anawania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

My take, Prof Kitila ameshuka!, hii nafasi awaachie vijana na watu wengine, ACT ina vijana na rasilimali watu ya kutosha.

Why hao hao tu kwa kila kitu
WEWE UNGEPENDEKEZA ANGEGOMBEA NAFASI IPI?
 
Kuna kosa kitila kugombea je huoni kama anauzika na yuko makini kwa nafas hiyo
Kuna watu wameambiwa kitu kikisema na ACT lazima wapinge... Ukimuuliza Prof kashuka vipi hana hata facts.
Ni akili za hajabu sana!
Kitila anastahili nafasi hii.
 
Huyo mkumbo angekuwa mwanamke nadhani angeolewa na zitto

Maana anafuata maamuz yote ya msalit

Profesa gani huyu
 
Ameshuka ila nyie mliompendekeza Waziri Mstaafu wa Mambo ya Ndani haina shida wakati yeye Mkumbo hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa....

Bavichaa acheni uzandiki
sibora ya waziri mstaafu, nayule mwingine mwalimu wa rorya english medium! halafu hawa team wema bila bunge live ni wabaridi mno sasa sijui huko watakuwa wanaombaje miongozo! Prof. Go go kipenzi cha watanzania.
 
Back
Top Bottom