Prof. Kabudi: Watanzania tuache uoga, hakuna atakayeshitakiwa na ACACIA

Hoja yako imejibiwa hapa;
Alisema, ‘’Ukiona ACACIA wanavyohangaika ambapo mara ya kwanza waliomba kuonana na Rais ambaye maombi yao aliyakataa. Wakaomba tena mara ya pili na kukubaliwa kupitia Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambaye ni mmiliki mkubwa wa hisa 63.9 wa Kampuni ya Acacia Mining, Profesa John Thorton’’.
mkuu ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue kasoma mstari mmoja utakaompa nafasi yakupinga tu, huyo ni mpuuzi mpingaji tu
 
Msemaji ukweli sitaki kuamini yale matumaini mliyowapa watu saa mnatuona majuha mnaanza kugeuza hoja ni kutokushitakiwa. Hoja ilikuwa ni kulipwa na wala sio hofu ya kushitakiwa. Mliiaminisha watu tutalipwa 108t, leo mnaanza kutuletea hadithi za kutoshitakiwa? Halafu nimejaribu kufuamfuatilia Kabudi, nimegundua hana jipya, kila mara akiongea anaishia kuongea historia na kiswangilish kisicho na tija lakini hana suluhisho la matatizo ya nchi.

Kwa ufupi huyo huyo Kabudi ni mwalimu wala sio mtu wa kumtegenea kwenye uchumi wetu. Pamoja na maelezo yake yote na kutumia vijimaneno vya kizungu hakuna mahali anapozungumzia hizo hela za malipo zaidi ya kuonyesha hatutashitakiwa. Kwani hao Acacia lengo lao ni kutushitaki? Wao iwapo wataendelea kuvuna hawana muda wa kutushitaki ila iwapo tutawazuia kuvuna wanaweza kutushitaki.

Nimegundua hata hiyo mnayosema sijui hawajasajiliwa Brela si lolote si chochote kwani mpaka sasa Acacia wapo nchini na wanaendelea na kazi zao. Hivi ingekuwa ni kampuni ya mtanzania na haswa mpinzani itamkwe haijasajiliwa leo ingekuwa bado inaendelea kufanya kazi? Tuliaminishwa baada ya wiki hao Barrick wanarudi kuja kujadili kurudisha chetu, mpaka hawajatokea, badala yake tunakimbizana na miswaada ya dharura kumbe hata yenyewe ni ya wawekezaji wapya na wala sio hawa mnaowata wezi. Duuuu aibu gani hii, na kwa kauli hizi sintoshangaa yale macontainer 277 ya makinikia tukalipishwa gharama za kuyazuia.
peleka ujinga wako mbele huko, kulala sebuleni kwa dadaako kumekuhari u akili kabisa
 
Hawa ACACIA wameamua mpaka kufungua site maalumu kujibu/kutolea ufafanuzi madai yote na kila tuhuma wamejibu tena kwa kutoa nyaraka huku wakitushaangaa kwa kutoa madai ambayo sio realistic kwa mfano hilo la kudai ACACIA hawajasajiliwa kuchimba madini wakati kumbe ACACIA haichimbi hayo madini bali ni kampuni tanzu za ACACIA ndio zinahusika na ndio zenye leseni ya uchimbaji.

Baadhi ya madini tunayodai yako kwenye huo mchanga kumbe hata hayapo kabisa.Mtu unasoma maelezo yao mpaka unaona aibu na kujiuliza wanatuchukuliaje hawa watu.

soma haya maelezo ya ACACIA kuhusu baadhi hayo madini tulodai yapo kwenye makinikia na ambayo ni madini adimu(REE)

  • REE deposits are not found with gold deposits of the style of Buzwagi and Bulyanhulu
  • Ytterbium is a minor component of most REE deposits
  • The findings imply that there 9.8 tonnes per annum of Ytterbium being produced; this would make Acacia likely equivalent to the current largest known producer in the World
  • Acacia believes that the Ytterbium is 1ppm or 0.0001% in the concentrate
  • We do not get paid for this miniscule amount as it is not commercially extracted and therefore no royalty is due
Soma zaidi kupitia hii link:

http://www.acaciamining.com/export-ban-facts/disputed-key-facts/english.aspx

kuibiwa tumeibiwa kisheria na labda kwenye kukwepa kodi ingawa nako huko wametoa nyaraka zote kuonyesha ambavyo wamekuwa wanalipa kodi serikalini.
Unawaamini sana acacia kuliko serikal yako.lkn kumbuka ni we uliyekuja na thread ya kuwa mwanasheria wa acacia yuko London kufungua kesi cjui imeishia wapi.Wangekua sahihi kwa hayo machapisho yao leo wangekua wametupeleka mahakaman.lkn kwakua hawako sahh ndo maana bosi wao alikuja mwenyewe tena sio kwa Mwaliko na ni baada ya kutumia njia nying.containers 277 bado zinashikiliwa why hawaendi mahakaman Kati wanaingia hasara?huoni nao kuna sehem wanajua wana makosa?THINK TWICE.
 
Msemaji ukweli sitaki kuamini yale matumaini mliyowapa watu saa mnatuona majuha mnaanza kugeuza hoja ni kutokushitakiwa. Hoja ilikuwa ni kulipwa na wala sio hofu ya kushitakiwa. Mliiaminisha watu tutalipwa 108t, leo mnaanza kutuletea hadithi za kutoshitakiwa? Halafu nimejaribu kufuamfuatilia Kabudi, nimegundua hana jipya, kila mara akiongea anaishia kuongea historia na kiswangilish kisicho na tija lakini hana suluhisho la matatizo ya nchi.

Kwa ufupi huyo huyo Kabudi ni mwalimu wala sio mtu wa kumtegenea kwenye uchumi wetu. Pamoja na maelezo yake yote na kutumia vijimaneno vya kizungu hakuna mahali anapozungumzia hizo hela za malipo zaidi ya kuonyesha hatutashitakiwa. Kwani hao Acacia lengo lao ni kutushitaki? Wao iwapo wataendelea kuvuna hawana muda wa kutushitaki ila iwapo tutawazuia kuvuna wanaweza kutushitaki.

Nimegundua hata hiyo mnayosema sijui hawajasajiliwa Brela si lolote si chochote kwani mpaka sasa Acacia wapo nchini na wanaendelea na kazi zao. Hivi ingekuwa ni kampuni ya mtanzania na haswa mpinzani itamkwe haijasajiliwa leo ingekuwa bado inaendelea kufanya kazi? Tuliaminishwa baada ya wiki hao Barrick wanarudi kuja kujadili kurudisha chetu, mpaka hawajatokea, badala yake tunakimbizana na miswaada ya dharura kumbe hata yenyewe ni ya wawekezaji wapya na wala sio hawa mnaowata wezi. Duuuu aibu gani hii, na kwa kauli hizi sintoshangaa yale macontainer 277 ya makinikia tukalipishwa gharama za kuyazuia.

Alichosema Proff. Kabudi nikweli ila tunachosahau ni kuleta mambobya kiitikadi na kuona watu wenye mawazo tofauti na wanayowaza wao ni vibaraka au sio wazalendo. Alichosema Lisu kilikuwa na mashiko sana nandio kimepigiwa kelele miaka yote, 1.mikataba iwe inaletwa bungeni, 2. Sheria za madini gesi ipitiwe upya. 3. Alisema haya makampuni yanatupiga sana kwakuwa madini yote yanatoroshwa migodini tuanze kudhibiti kule sababu ndio kuna mali nyingi zaidi kuliko kwenye hayo makontena ya michanga. Wakamsema weee leo mambo hayohayo yamepelekwa kwa hati ya dharula. Nasasa imepigwa marufuku kusafirisha madini kama walivyokuwa wanafanya zamani na yatatakiwa kupitishiwa uwanja wa ndege na kulipiwa kodi ya 1%. Sasa hapo ugomvi uko wapi?. Mtakumbuka Zito Kabwe aliwahi kupewa adhabu bungeni kwakosa la kumtuhumu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Naziri Karamaki kwamba alisaini mkataba London usiokuwa na maslahi kwa taifa alionekana mzushi akatimuliwa lakini siku zote ukweli huwa haupindi wala kugeuka leo kwenye ripoti hizi Karamagi ametajwa kwaiyo moja kwa moja imethibitika kuwa ilikuwa kweli fikiria ni miaka mingapi imepita, hapo tunajifunza nini? Tuwe tunasikiliza wenzetu na kuyachukua fikiria kwacwakati ule swala la Zito lingechukuliwa kwa uzito tungeokoa kiasi gani cha mali ya Taifa

Ila wakati wengine hivi kauli zetu kutokana na itikadi zetu ndio zinapelekea mambo yawe kama hivi. Lakini katika swala hili la makinika hapa ni 50/50 yoyote anaweza kushinda, kama sisi watanzania tutathibitisha pasiposhaka kweli tulikuwa tunaibiwa kwamaana ya viwangu vya madini yaliomo kwenye michanga nimengi kuliko waliokuwa wanasema, mbili idadi ya makontena waliokuwa wanasafirisha itakuwa ni aibu kubwa kwa kampuni kubwa kama hiyo nandio linalowasumbua Barick aibu hiyo, wazungu wanapenda sana kuonekana waadirifu.

Swala la kulipwa mrahaba mdogo, mkataba mbovu sijui tumeonewa hayo hayana mashiko sababu tulikubali wenyewe tuliridhika ndio sababu tulisaini ila lama inatoa mwanya wa kuangaliwa upya na kuongeza viwango hayo ndio yataingia kwenye majadiliano.

Sasa kuna maswali ya kujiuliza hapa 1. Unafikiri kama Barick wanajua wako clean kwanini mwenyekiti wao katoka huko mbali kote kuja kuonana na Mh rais Magufuli?

2. Kama ripoti zote mbili zinasomeka vile na ndio vile mambo yalivyo kwanini serikali haikuchukua hatua kali sana kama kusitisha uzalishaji wa migodi yao na kushika mali zao mpaka tulipwe? .

Majibu yanakuja hapa wote tunategemeana ndiomaana tunataka kuzungumza tupewe haki yetu mambo ya endelee.
 
Nakubaliana naye mia kwa mia.

Yaani ukisikia baadhi ya maoni ya watu humu kwa jinsi wanavyoonyesha uoga kisa tu sijui kwenye bodi kuna William Cohen na Newt Gingrich, unabaki unatikisa kichwa tu.

Vyovyote vile itakavyokuwa, the sky won't fall.

Sioni sababu ya kuogopa hususan kama unajua kuwa unachokifanya ni sahihi hata kama huko nyuma kilikosewa.
Na wengi wanaoongoza kwa kuonesha hofu ni wafuasi wa Mwanasheria Uchwara na chama chao.
 
Kakupa hadi mifano nini kilitokea kwa Ghana na Tz.kuwashitak acacia au kutaifisha mali zao sio sawa ka kwenda kuharibu shamba la mbowe.Angalia unapambana na watu gan.ndo maana kwa kuliona hilo prof mwenyewe anasisitiza busara zitumike ktk mazungumzo.na tayar jamaa walishakuja kutaka mazungumzo.Nyerere aliwafukuza kwenye mgod wa mwadui,nini kilifuata?

..hiyo inathibitisha kwamba WANAWAOGOPA acacia.

..ukiona mtu kila kukicha anapiga makelele "siogopi.. siogopi.." ujue huyo ni muoga tu.

..Ripoti za kitaalamu zimethibitisha kwamba Acacia wanaiba, na pia ni kampuni feki.

..kwa hiyo moja kwa moja wanatakiwa kufikishwa mahakamani.

..mimi nimefundishwa kwamba yeyote anayezuia wahalifu wasifikishwe ktk vyombo vya sheria basi atahesabika kuwa ni mshiriki ktk uhalifu huo.
 
Ulifuatilia kisa cha nyerere mgod wa mwadui?
 
Ulifuatilia kisa cha nyerere mgod wa mwadui?

..huwezi kufanya makosa mwaka 2017 ukajitetea kwamba Mwalimu Nyerere naye alifanya makosa hayohayo.

..viongozi wetu wa sasa hivi wamesoma kuliko Mwalimu Nyerere, na wana reference ya maamuzi ya kiutawala yaliyofanyika miaka iliyopita kiasi kwamba hawapaswi kurudia makosa.
 
Huko ccm sijui huwa yanafanywa nini haya masomi yetu? Yaani hata li porofesa na mdigrii yake likishaingia huko linakuwa pumbavvvv la kutupwa! Huyu mbweha anataka kutuaminisha kwamba eti tuna-flex muscles kwa giants huku anasahau tayari wamesha-succumb kwa kusema sheria hii haitagusa mikataba iliyokwishasainiwa! Sasa hapo bingwa ni sisi au ACACIA? NYOKO HAWA!!
Hakika hujui ulisemalo kwa mujibu wa katiba yetu huwezi kutunga sheria leo kukava mambo yaliyopita nyuma .....kinachokusumbua ni uelewa wako duni pole sana.
 
..huwezi kufanya makosa mwaka 2017 ukajitetea kwamba Mwalimu Nyerere naye alifanya makosa hayohayo.

..viongozi wetu wa sasa hivi wamesoma kuliko Mwalimu Nyerere, na wana reference ya maamuzi ya kiutawala yaliyofanyika miaka iliyopita kiasi kwamba hawapaswi kurudia makosa.
Hujaelewa kwanini nilikuuliza vile.Tanzania tunaweza kuvunja mkataba na kuwafukuza kama alivofanya nyerere na tusishitakiwe.lkn jaribu kufikiria unapambana na watu gan ktk dunia hii.ndo maana hata prof anakuambia ni kutumia busara tu ktk majadiliano kuliko hizi kelele za sijui kwenda mahakaman au kutaifisha.kutaifisha au mahakaman ni hatua ya mwisho ambapo unaona hakuna mwafaka mzur.Hatutakiw kufanya makosa ya kiufund ktk hili.
 
Kina Tundu Lisu walilipwa Morena Hotel, watengeneze Hofu ili Rais asiendelee mbele, Lisu akawa anatoa ushauri wa kijinga, Eti MIGA.. Tujiondoe MIGA, amekariri njia
 
Huku kumejaa wazandiki nawanafiki.itakuaje watu waseme kama serikali inajiamin bas wawafukuze nakutaifisha migod,,,halafu hapohapo serikal inapochukua hatua waseme tutashindwa kama samaki wamagufuli,,,kutaifisha mbaya,kuzungumza nao mbaya manataka nn sasa...ndomana wakat ule urus akipigana nawaas wachechnia marekan anasema anavunja haki zabinadam huku yy marekan anawapiga wataliban tena bila mjadala.

Mkuu tumeona serekali ikivunja green house ya Mbowe. Kama imeweza kwa mtanzania mwenzetu inashindwaje kwa hayo majizi kupora na kutaifisha mali zao!!?
 
Maelezo ya kwa nini hatushitakiwi yapo kwenye thread.

Nadhani umesoma heading tu na kutoa komenti kama ilivyo kwa baadhi ya Watanzania.

Katika nchi mojawapo yenye wananchi wavivu wa kusoma/kujisomea, Tanzania inaweza kuwa ndani ya kumi bora. Inashangaza mtu akiona andiko lefu anasoma heading na kuanza kutoa komenti/maoni ambapo mara nyingi utakuta ni nje ya mada au hoja zake zinakuwa zimeishapatiwa majibu kwenye thread.

Kinachoshangaza zaidi unakuta komenti wanazotoa ni nusu mstari au mstari mmoja tu.

Mtanzania ukimwaambia aongee bila kuandika, anaweza hata akamaliza siku nzima akiongea lakini maongezi yake mara nyingi ni pumba tupu!

Kwa mtaji huu, inashangaza tunashangaa kwa nini tunasainishwa mikataba mibovu ambayo technicality inakuwa kwenye small print
Hoja haitokani ni wingi wa maneno unaweza andika maneno mengi kumbe pumba tu hivyo usihukumu wanaiandika kwa ufupi
 
Hujaelewa kwanini nilikuuliza vile.Tanzania tunaweza kuvunja mkataba na kuwafukuza kama alivofanya nyerere na tusishitakiwe.lkn jaribu kufikiria unapambana na watu gan ktk dunia hii.ndo maana hata prof anakuambia ni kutumia busara tu ktk majadiliano kuliko hizi kelele za sijui kwenda mahakaman au kutaifisha.kutaifisha au mahakaman ni hatua ya mwisho ambapo unaona hakuna mwafaka mzur.Hatutakiw kufanya makosa ya kiufund ktk hili.

Mkuu hizo busara za Kabudi hazikuweza kufanya kazi kwenye greenhouse ya Mbowe? Tena hicho alicholima Mbowe kingetumika na watanzania wenzetu achia mbali hayo madini yanayoenda nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom