Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,081
mkuu ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue kasoma mstari mmoja utakaompa nafasi yakupinga tu, huyo ni mpuuzi mpingaji tuHoja yako imejibiwa hapa;
Alisema, ‘’Ukiona ACACIA wanavyohangaika ambapo mara ya kwanza waliomba kuonana na Rais ambaye maombi yao aliyakataa. Wakaomba tena mara ya pili na kukubaliwa kupitia Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambaye ni mmiliki mkubwa wa hisa 63.9 wa Kampuni ya Acacia Mining, Profesa John Thorton’’.