Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,915
- Wananchi ni wazalendo
- Wachezaji ni wazalendo zaidi
- Viongozi ni wazalendo kiasi
Sasa:-
Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi.
- Leo goli la mguu limegoma;
- Goli la kichwa limegoma;
- Goli la mkono nalo limegoma!
Watanzania wanaumia!