Prof. Kabudi ni mtu sahihi, amebobea katika ushauri, majadiliano na utetezi wa rasilimali za Taifa

ulichokosea ni kumsifia kabudi kwenye hyo timu ya majadiliano, ilibidi umponde na uikosoe timu yote ya majadiliano hata kama huijui, HAPO NDO UNGEWAFURAHISHA BAVICHA, bila hvyo na kwa post hii pambana nao tu mwenyewe ila naona unakismati sana yaan hadi sasa ivi hujatukanwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petro E. Mselewa, labda ungetupa na out come za hayo majadiliano ili tujue amefanikiwa kwa kiasi gani!!?

Halafu kumbuka kinachoendela hapa siyo usuruhishi ............ kuna Trillion zetu karibu 400 ziko at stake!!
 
Mkuu umeeleza vizuri umahiri wa prof na kumjibu vizuri wa Mgaya.ila mi naona hilo la Mgaya personal usingeliunganisha hapa, ili mjadala ubaki tu kwenye mada.
Ni kweli, tujifunze kujibu hoja na kuacha kuzungumzia mambo binafsi. Mgaya kwenye uzi wake alizungumzia worries zake za msingi sana juu ya uzoefu wa kiongozi wetu wa timu ya majadiliano. Mambo binafsi ya Mgaya hayana nafasi kwa vile kuvunjika kwa koleo siyo........
 
mkuu Petro E. Mselewa , umesomeka. lakiki langu ni moja, tena dogo tu....

ni kitu kimoja kuwa jabali na mahiri katika kufanikisha maamuzi ya jambo fulani (hereinafter for the sake of this argument referred to as “the TALKIST”). lakini ni kitu kingine tofauti kabisa kuwa na uwezo huo huo wa kulisimamia jambo ambalo maamuzi yake umeyafikia wewe mwenyewe (herein again for the sake of this argument referred to as “the WALKIST”).

kabudi ni TALKIST. si WALKIST. nchi hii inahitaji zaidi WALKISTS (na hili tunalitegemea kutoka kwa viongozi wote – wawe wa CCM ama upinzani!).

majadiliano na Barrick yalihitaji zaidi strong WALKISTS... ninaamini ndiyo ujumbe uliokuwepo kwa ndugu yetu wa "The Citizen" na Mungu ambariki sana!
today your talking the truth my friend. why?
 
Mwandishi Raphael Mgaya namfahamu tangu akiwa anaitwa Bahati Tweve. Najua kuwa alishindwa kuwa Mhandisi na kufanikiwa kuwa Mwanasheria mwaka 2006. Kama Mwanasheria,alipaswa kutafiti kabla ya kuandika. Hakuna mashaka juu ya uwezo wa Prof. Kabudi

Prof. Kabudi si mpenda promo. Anaamini kuwa 'kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza'!

Kama Wakili Msomi, ulikuwa na haja ya kufanya personal attack kwa Wakili Mgaya? Yeye ni mtu wa kwanza kufeli akarudia na kufanikiwa?

Je, unaweza ukatuambia Prof Kabudi - ambaye unasema unamfahamu sana - kama hakuwahi kufeli maishani mwake? Katika masomo yake?

Kufeli mitihani ni kosa? Ni tatizo? Ni laana?
 
Mbona haujaizungumzia ripori ya 2012 alioiandika huyo mwandishi, pia mbona haujazungumzia kwwmba reliance ya negotiation team ya Tanzania ni kwenye fabricated reports za makinikia I and II
 
I always do my friend....

ok. sawa ni kati ya member humu ambaye haupo upande wowote kati ya CCM na CHADEMA but unaongozwa sana na kile unachokielewa na kukiami. na sema hivi kwa maana kuna member kama jingalao usitegemee akawa kinyume kihoja na serikali au CCM au slary silip usitegemee hata siku moja akawa kinyume na cdm. hongera sana watu kama ninyi wanahitajika sana kujenga taifa letu.
 
Kama Wakili Msomi, ulikuwa na haja ya kufanya personal attack kwa Wakili Mgaya? Yeye ni mtu wa kwanza kufeli akarudia na kufanikiwa?

Je, unaweza ukatuambia Prof Kabudi - ambaye unasema unamfahamu sana - kama hakuwahi kufeli maishani mwake? Katika masomo yake?

Kufeli mitihani ni kosa? Ni tatizo? Ni laana?
Wapi nilipomshambulia? Kusema namfahamu ni kumattack?
 
1/ Hapo uliposema kwamba 'Prof. Kabudi si mpenda promo' umepotosha. Na kuna kila dalili kwamba humfahamu Prof kama unavyojipambanua.

2/ Mambo yote uliyoeleza yanathibitisha hoja ya Wakili Raphael Mgaya kwamba Prof. Kabudi hana uzoefu wa kuongoza majadiliano kati ya Serikali na Barick. Kama ulivyoonesha kwa muda mwingi amefanya kazi kama academic au bureaucrats. Hana uzoefu wowote wa kuongoza majadiliano ya migogoro ya kibiashara na kuhudumu kwenye nyanja, uzoefu ambao negotiators wa Barick watakuwa nao kwa kiasi kikubwa. Huwezi kusema kwamba ana uzoefu kwa kuwa aliongoza mchakato wa kirasimu wa kupata sheria mpya ya mazingira.

3/ Ili kuhakikisha kuwa Wakili Mgaya anasoma maoni yako, nashauri uweke maoni yako kwenye comment section katika Linkedin page yake ambapo andiko lake lilichapishwa kwa mara ya kwanza.
Eleza ukweli wa nilichopotosha
 
Huyu naye ni wakili? Kuna sehemu elimu yetu ilichezewa na matunda yake yanaonekana sasa. Sijui tutarekebishaje. Sisi mawakili wa miaka ya nyuma tumecha hata kujitangaza kwa hayo majina maana tunakuja fananishwa na watu wa kila nna aina hii.
Endelea kuota. Kaendelee na viuzi vyako vya kutunga MMU. Hapa tuache GT tujenge hoja.
 
Back
Top Bottom