Prof. Kabudi ni mtu sahihi, amebobea katika ushauri, majadiliano na utetezi wa rasilimali za Taifa

Ni vyema,katika kumzungumzia mtu,uwe unamfahamu vyema. Wahenga walisema,kuuliza si ujinga. Na pia,usilolijua ni kama usiku wa giza. Jana,nimesoma humu makala ya unaoitwa uchambuzi wa gazeti la Citizen kuhusu majadiliano kati ya Serikali na Barrick.

Mwandishi wa makala hiyo amezungumza mambo kadhaa. Amejitambulisha kama Wakili Msomi Raphael Mgaya. Amezungumzia mambo mengi ya muhimu na ya kupotosha. With due respect,naamini amepotosha kwakuwa hamjui vyema Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi,Mwenyekiti wa timu yetu ya majadiliano

Jambo la mbolea alilolisema Mwandishi wa makala Mgaya ni kuhusu kuwa na mbinu na malengo kama Taifa kwenye majadiliano hayo. Lakini,Wakili Msomi Mgaya amemuelezea Prof. Kabudi katika ufinyu na giza nene. Amemsema kama mwanataaluma tu na asiye na utaalamu wala uzoefu katika majadiliano.

With respect to the author,naomba nieleze kidogo juu ya umahiri,ubobezi na uzoefu wa Prof. Kabudi katika ushauri,majadiliano na utetezi wa rasilimali za taifa kitaifa na kimataifa. Mosi,mwaka 1999-2004, Prof. Kabudi aliazimwa toka UDSM kwenda kuwa Mratibu wa Institutional Framework for Environment Management Program (IFEMP) Ofisi ya Makamu wa Rais.

IFEMP ilihusisha Benki ya Dunia,DANIDA,USAID na Serikali ya Uholanzi. Mafanikio makubwa ya IFEMP ni kupatikana kwa Sheria mpya ya Mazingira na Kanuni zake. Pili,wakati wa awamu ya nne,Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliteuliwa mmoja wa Wasuluhishi wa mgogoro wa Ivory Coast

Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa Washauri katika kutatua mgogoro huo. Mikutano yote ya jopo iliyofanyika Nouakchott,Mauritania; Abijan,Ivory Coast na Addis Ababa,Ethiopia ilimjumuisha Prof. Kabudi kama Mshauri muhimu. Tatu,Prof. Kabudi alikuwa kwenye timu ya Tanzania katika majadiliano ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopelekea kusainiwa Protokali ya Soko la Pamoja (the Common Market Protocol)

Sote tunakumbuka jinsi suala la ardhi lilivyokuwa na mvutano mkubwa. Hatimaye,Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa watetezi wa maslahi yetu kama watanzania na kutetea ardhi yetu. Nne,hivi karibuni Prof. Kabudi alikuwemo kwenye timu ya majadiliano juu ya mkataba wa TICTS.

Majadiliano hayo yalifanyika kati ya Serikali na Mamlaka ya Bandari kwa upande mmoja na kampuni ya Hutchinson Port ya Hong Kong (mwenyehisa kwa wingi TICTS). Matunda ya majadiliano hayo ni kupatikana kwa mkataba mpya kati ya Mamlaka ya Bandari na TICTS wenye masharti ya manufaa kwa nchi yetu

Pia,Prof. Kabudi amekuwa akikodiwa na Kampuni mbalimbali za Mawakili hapa nchini kuhudhuria na kusimamia usuluhishi na uamuzi wa migogoro ya kimataifa. Kwake,majadiliano ni jambo la kawaida. Hata Mabaraza ya Migogoro ya Kimataifa yanamfahamu.

Tena,majadiliano kati ya Serikali na Barrick yataratibiwa na Sheria mpya za Rasilimali za taifa zilizotungwa mwaka huu. Ni Prof. Kabudi ndiye aliyesimamia mchakato wote wa kutungwa kwa Sheria hizo. Hivyo,atakuwa uwanja wa nyumbani.

Hadi hapo,ni wazi kuwa Prof. Kabudi ana uzoefu na umahiri wa majadiliano na utetezi wa maslahi ya Taifa letu. Yeye,si kwa kusomea,ana umahiri na uzoefu wa mambo ya kibiashara na hata ya kisiasa. Mwandishi Raphael Mgaya namfahamu tangu akiwa anaitwa Bahati Tweve. Najua kuwa alishindwa kuwa Mhandisi na kufanikiwa kuwa Mwanasheria mwaka 2006. Kama Mwanasheria,alipaswa kutafiti kabla ya kuandika. Hakuna mashaka juu ya uwezo wa Prof. Kabudi

Prof. Kabudi si mpenda promo. Anaamini kuwa 'kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza'!
When Dealing with Crooks you Must Have Crooked Ideas
 
mkuu Petro E. Mselewa , umesomeka. lakini langu ni moja, tena dogo tu....

ni kitu kimoja kuwa jabali na mahiri katika kufanikisha maamuzi ya jambo fulani (hereinafter for the sake of this argument referred to as “the TALKIST”). lakini ni kitu kingine tofauti kabisa kuwa na uwezo huo huo wa kulisimamia jambo ambalo maamuzi yake umeyafikia wewe mwenyewe (herein again for the sake of this argument referred to as “the WALKIST”).

kabudi ni TALKIST. si WALKIST. point of reference ni "Tume ya Katiba/Warioba".

nchi hii inahitaji zaidi WALKISTS (na hili tunalitegemea kutoka kwa viongozi wote – wawe wa CCM ama upinzani!).

majadiliano na Barrick yalihitaji zaidi strong WALKISTS... ninaamini ndiyo ujumbe uliokuwepo kwa ndugu yetu wa "The Citizen" na Mungu ambariki sana!
 
1/ Hapo uliposema kwamba 'Prof. Kabudi si mpenda promo' umepotosha. Na kuna kila dalili kwamba humfahamu Prof kama unavyojipambanua.

2/ Mambo yote uliyoeleza yanathibitisha hoja ya Wakili Raphael Mgaya kwamba Prof. Kabudi hana uzoefu wa kuongoza majadiliano kati ya Serikali na Barick. Kama ulivyoonesha kwa muda mwingi amefanya kazi kama academic au bureaucrat. Hana uzoefu wowote wa kuongoza majadiliano ya migogoro ya kibiashara na kuhudumu kwenye nyanja hiyo, uzoefu ambao negotiators wa Barick watakuwa nao kwa kiasi kikubwa. Huwezi kusema kwamba ana uzoefu kwa kuwa aliongoza mchakato wa kirasimu wa kupata sheria mpya ya mazingira.

3/ Ili kuhakikisha kuwa Wakili Mgaya anasoma maoni yako, nashauri uweke maoni yako kwenye comment section katika Linkedin page yake ambapo andiko lake lilichapishwa kwa mara ya kwanza.
 
Ila hawa mawakili wa Tanzania ni hopeless sana...post yako ilikua ina hoja mwanzoni ila ulipokuja kumuattack personally umeharibu kila kitu. hopeless kabisa.
 
Kufeli kwa kabudi si katika negotiations Bali ni katika fact za makinikia maana Magufuli kadaganya na tume zake za makinikia, yaani sample zina content mpaka 115% sasa utegemee tushinde shida Tz tunapenda kudanganywa na kujipendekeza kwa kijinga

Nothing straight from crooked timber of humanity can be done
 
Pia bila kusahau mara nyingi amekuwa akialikwa kama rafiki wa mahakama kwenye kesi mbalimbali.I stand to be corrected!
 
HUYO MWANDISHI AEELEZEE KWANZA ALIVODISCO KUWA ENGINEER.TATIZO WANDISHI WENGI WA HABARI NI FAILURE HATA MAKALA ZAO HAZINA UKWELI WANAKURUPUKA TU

Hii inahusiana nini na kipawa chake cha uandishi?? Miss Natafuta jaribu kushirikisha fikra kabla ya kuandika.

Ungesema amedisco uandishi wa habari sawa lakini engineering na kuwa reporter wapi na wapi?

Shule gani mmesoma nyini watu??
 
mkuu Petro E. Mselewa , umesomeka. lakiki langu ni moja, tena dogo tu....

ni kitu kimoja kuwa jabali na mahiri katika kufanikisha maamuzi ya jambo fulani (hereinafter for the sake of this argument referred to as “the TALKIST”). lakini ni kitu kingine tofauti kabisa kuwa na uwezo huo huo wa kulisimamia jambo ambalo maamuzi yake umeyafikia wewe mwenyewe (herein again for the sake of this argument referred to as “the WALKIST”).

kabudi ni TALKIST. si WALKIST. nchi hii inahitaji zaidi WALKISTS (na hili tunalitegemea kutoka kwa viongozi wote – wawe wa CCM ama upinzani!).

majadiliano na Barrick yalihitaji zaidi strong WALKISTS... ninaamini ndiyo ujumbe uliokuwepo kwa ndugu yetu wa "The Citizen" na Mungu ambariki sana!
Mchawi mwachie mtooto akulelee Kwa Maneno mengine Tapeli mpambanishe na Tapeli mwezie ''These people are very Craft and have crooked ideas when dealing with them you have to look at all angles"
 
Ni vyema,katika kumzungumzia mtu,uwe unamfahamu vyema. Wahenga walisema,kuuliza si ujinga. Na pia,usilolijua ni kama usiku wa giza. Jana,nimesoma humu makala ya unaoitwa uchambuzi wa gazeti la Citizen kuhusu majadiliano kati ya Serikali na Barrick.

Mwandishi wa makala hiyo amezungumza mambo kadhaa. Amejitambulisha kama Wakili Msomi Raphael Mgaya. Amezungumzia mambo mengi ya muhimu na ya kupotosha. With due respect,naamini amepotosha kwakuwa hamjui vyema Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi,Mwenyekiti wa timu yetu ya majadiliano

Jambo la mbolea alilolisema Mwandishi wa makala Mgaya ni kuhusu kuwa na mbinu na malengo kama Taifa kwenye majadiliano hayo. Lakini,Wakili Msomi Mgaya amemuelezea Prof. Kabudi katika ufinyu na giza nene. Amemsema kama mwanataaluma tu na asiye na utaalamu wala uzoefu katika majadiliano.

With respect to the author,naomba nieleze kidogo juu ya umahiri,ubobezi na uzoefu wa Prof. Kabudi katika ushauri,majadiliano na utetezi wa rasilimali za taifa kitaifa na kimataifa. Mosi,mwaka 1999-2004, Prof. Kabudi aliazimwa toka UDSM kwenda kuwa Mratibu wa Institutional Framework for Environment Management Program (IFEMP) Ofisi ya Makamu wa Rais.

IFEMP ilihusisha Benki ya Dunia,DANIDA,USAID na Serikali ya Uholanzi. Mafanikio makubwa ya IFEMP ni kupatikana kwa Sheria mpya ya Mazingira na Kanuni zake. Pili,wakati wa awamu ya nne,Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliteuliwa mmoja wa Wasuluhishi wa mgogoro wa Ivory Coast

Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa Washauri katika kutatua mgogoro huo. Mikutano yote ya jopo iliyofanyika Nouakchott,Mauritania; Abijan,Ivory Coast na Addis Ababa,Ethiopia ilimjumuisha Prof. Kabudi kama Mshauri muhimu. Tatu,Prof. Kabudi alikuwa kwenye timu ya Tanzania katika majadiliano ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopelekea kusainiwa Protokali ya Soko la Pamoja (the Common Market Protocol)

Sote tunakumbuka jinsi suala la ardhi lilivyokuwa na mvutano mkubwa. Hatimaye,Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa watetezi wa maslahi yetu kama watanzania na kutetea ardhi yetu. Nne,hivi karibuni Prof. Kabudi alikuwemo kwenye timu ya majadiliano juu ya mkataba wa TICTS.

Majadiliano hayo yalifanyika kati ya Serikali na Mamlaka ya Bandari kwa upande mmoja na kampuni ya Hutchinson Port ya Hong Kong (mwenyehisa kwa wingi TICTS). Matunda ya majadiliano hayo ni kupatikana kwa mkataba mpya kati ya Mamlaka ya Bandari na TICTS wenye masharti ya manufaa kwa nchi yetu

Pia,Prof. Kabudi amekuwa akikodiwa na Kampuni mbalimbali za Mawakili hapa nchini kuhudhuria na kusimamia usuluhishi na uamuzi wa migogoro ya kimataifa. Kwake,majadiliano ni jambo la kawaida. Hata Mabaraza ya Migogoro ya Kimataifa yanamfahamu.

Tena,majadiliano kati ya Serikali na Barrick yataratibiwa na Sheria mpya za Rasilimali za taifa zilizotungwa mwaka huu. Ni Prof. Kabudi ndiye aliyesimamia mchakato wote wa kutungwa kwa Sheria hizo. Hivyo,atakuwa uwanja wa nyumbani.

Hadi hapo,ni wazi kuwa Prof. Kabudi ana uzoefu na umahiri wa majadiliano na utetezi wa maslahi ya Taifa letu. Yeye,si kwa kusomea,ana umahiri na uzoefu wa mambo ya kibiashara na hata ya kisiasa. Mwandishi Raphael Mgaya namfahamu tangu akiwa anaitwa Bahati Tweve. Najua kuwa alishindwa kuwa Mhandisi na kufanikiwa kuwa Mwanasheria mwaka 2006. Kama Mwanasheria,alipaswa kutafiti kabla ya kuandika. Hakuna mashaka juu ya uwezo wa Prof. Kabudi

Prof. Kabudi si mpenda promo. Anaamini kuwa 'kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza'!
Nadhani imetosha,umemtwanga vilivyo.

Binafsi nashukuru pia umefungua ufahamu wangu,asante sana.Nilikuwa na wasi wasi kwa kiasi fulani na uzoefu wake katika uwanja majadiliano,hasa ukizingatia kwamba watu hawa ni lazima wamekusanya magwiji wa majadiliano ya namna hii.
 
Nani anafaa kuongoza jopo la mazungumzo ambaye ana experience kwenye majadiliano ya biashara,husimlaumu,kabudi taja ambaye ni bora kulko kabudi ili tujue kuwa magu aliunda timu vibaya
 
Ni vyema,katika kumzungumzia mtu,uwe unamfahamu vyema. Wahenga walisema,kuuliza si ujinga. Na pia,usilolijua ni kama usiku wa giza. Jana,nimesoma humu makala ya unaoitwa uchambuzi wa gazeti la Citizen kuhusu majadiliano kati ya Serikali na Barrick.

Mwandishi wa makala hiyo amezungumza mambo kadhaa. Amejitambulisha kama Wakili Msomi Raphael Mgaya. Amezungumzia mambo mengi ya muhimu na ya kupotosha. With due respect,naamini amepotosha kwakuwa hamjui vyema Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi,Mwenyekiti wa timu yetu ya majadiliano

Jambo la mbolea alilolisema Mwandishi wa makala Mgaya ni kuhusu kuwa na mbinu na malengo kama Taifa kwenye majadiliano hayo. Lakini,Wakili Msomi Mgaya amemuelezea Prof. Kabudi katika ufinyu na giza nene. Amemsema kama mwanataaluma tu na asiye na utaalamu wala uzoefu katika majadiliano.

With respect to the author,naomba nieleze kidogo juu ya umahiri,ubobezi na uzoefu wa Prof. Kabudi katika ushauri,majadiliano na utetezi wa rasilimali za taifa kitaifa na kimataifa. Mosi,mwaka 1999-2004, Prof. Kabudi aliazimwa toka UDSM kwenda kuwa Mratibu wa Institutional Framework for Environment Management Program (IFEMP) Ofisi ya Makamu wa Rais.

IFEMP ilihusisha Benki ya Dunia,DANIDA,USAID na Serikali ya Uholanzi. Mafanikio makubwa ya IFEMP ni kupatikana kwa Sheria mpya ya Mazingira na Kanuni zake. Pili,wakati wa awamu ya nne,Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliteuliwa mmoja wa Wasuluhishi wa mgogoro wa Ivory Coast

Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa Washauri katika kutatua mgogoro huo. Mikutano yote ya jopo iliyofanyika Nouakchott,Mauritania; Abijan,Ivory Coast na Addis Ababa,Ethiopia ilimjumuisha Prof. Kabudi kama Mshauri muhimu. Tatu,Prof. Kabudi alikuwa kwenye timu ya Tanzania katika majadiliano ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopelekea kusainiwa Protokali ya Soko la Pamoja (the Common Market Protocol)

Sote tunakumbuka jinsi suala la ardhi lilivyokuwa na mvutano mkubwa. Hatimaye,Prof. Kabudi alikuwa ni mmoja wa watetezi wa maslahi yetu kama watanzania na kutetea ardhi yetu. Nne,hivi karibuni Prof. Kabudi alikuwemo kwenye timu ya majadiliano juu ya mkataba wa TICTS.

Majadiliano hayo yalifanyika kati ya Serikali na Mamlaka ya Bandari kwa upande mmoja na kampuni ya Hutchinson Port ya Hong Kong (mwenyehisa kwa wingi TICTS). Matunda ya majadiliano hayo ni kupatikana kwa mkataba mpya kati ya Mamlaka ya Bandari na TICTS wenye masharti ya manufaa kwa nchi yetu

Pia,Prof. Kabudi amekuwa akikodiwa na Kampuni mbalimbali za Mawakili hapa nchini kuhudhuria na kusimamia usuluhishi na uamuzi wa migogoro ya kimataifa. Kwake,majadiliano ni jambo la kawaida. Hata Mabaraza ya Migogoro ya Kimataifa yanamfahamu.

Tena,majadiliano kati ya Serikali na Barrick yataratibiwa na Sheria mpya za Rasilimali za taifa zilizotungwa mwaka huu. Ni Prof. Kabudi ndiye aliyesimamia mchakato wote wa kutungwa kwa Sheria hizo. Hivyo,atakuwa uwanja wa nyumbani.

Hadi hapo,ni wazi kuwa Prof. Kabudi ana uzoefu na umahiri wa majadiliano na utetezi wa maslahi ya Taifa letu. Yeye,si kwa kusomea,ana umahiri na uzoefu wa mambo ya kibiashara na hata ya kisiasa. Mwandishi Raphael Mgaya namfahamu tangu akiwa anaitwa Bahati Tweve. Najua kuwa alishindwa kuwa Mhandisi na kufanikiwa kuwa Mwanasheria mwaka 2006. Kama Mwanasheria,alipaswa kutafiti kabla ya kuandika. Hakuna mashaka juu ya uwezo wa Prof. Kabudi

Prof. Kabudi si mpenda promo. Anaamini kuwa 'kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza'!

Mkuu, nimesoma kote sijaona sehemu umeandika amefanya kazi kama "business negotiator" zaidi ya kutumika kama "consultant or advisor."

Tafuta tofauti ya hizo nafasi tatu ndiyo utajua naongea nini?

Business negotiation is an art, siyo certificates, title or academic achievements.

A target or goal should be based on realistic expectations.

Kwa nafsi yangu inaniambia kama angepelekwa Mo Dewji angeweza kutoka na best results kuliko huyu Prof. Kabudi
 
1/ Hapo uliposema kwamba 'Prof. Kabudi si mpenda promo' umepotosha. Na kuna kila dalili kwamba humfahamu Prof kama unavyojipambanua.

2/ Mambo yote uliyoeleza yanathibitisha hoja ya Wakili Raphael Mgaya kwamba Prof. Kabudi hana uzoefu wa kuongoza majadiliano kati ya Serikali na Barick. Kama ulivyoonesha kwa muda mwingi amefanya kazi kama academic au bureaucrats. Hana uzoefu wowote wa kuongoza majadiliano ya migogoro ya kibiashara na kuhudumu kwenye nyanja, uzoefu ambao negotiators wa Barick watakuwa nao kwa kiasi kikubwa. Huwezi kusema kwamba ana uzoefu kwa kuwa aliongoza mchakato wa kirasimu wa kupata sheria mpya ya mazingira.

3/ Ili kuhakikisha kuwa Wakili Mgaya anasoma maoni yako, nashauri uweke maoni yako kwenye comment section katika Linkedin page yake ambapo andiko lake lilichapishwa kwa mara ya kwanza.
Mkuu ukimsoma Petro unaona kabisa ana lake jambo na yuko biased mno mathalani kwa mfano uzi wake hauelezei uzoefu wowote alio nao Kabudi kwenye masuala yahusiyo negotiations za rasiliamli gasi, mafuta na madini. Vilevile Kabudi hana uzoefu wa majadiliano na multinational companies kubwa kubwa za dunia hii, hili nalo uzi wa Petro uko kimya kabisaaa. Ikumbukwe kuwa kuwa Petro aliwahi sema kuwa Kabudi alipewa uwakili eti kwa kuwa alikuwa amefaulu sanaaaaa, ajabu kweli hii!

Mahaba yakizidi sana chongo huitwa kengeza na ndicho kinachoonekana kwa Petro. Tujifunze tofautisha kati ya mtu ambaye ameyaishi anayoyatetea na mtu anayepapasa anayoyatetea.
 
Mke wake ni Chief Director wa Libraly ya chuo kikuu cha UDSM- Dr.Amina Kabudi...
Huyu mama ni mtu wa ibada sana, kama unaudhuria ibada za kila siku sa 12:30 jion pale Parokia ya chuo kikuu uwezi kumkosa hata wakati mwingne yy na familia yake. ..

Mumewe naye pia kila Dominica, Shughuli zote za kikanisa, event, maadhimisho, na vitubkadha wa kadha...
Hakika anafaa na hata jumuiya inayomzunguka, inaona anafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye ni wakili? Kuna sehemu elimu yetu ilichezewa na matunda yake yanaonekana sasa. Sijui tutarekebishaje. Sisi mawakili wa miaka ya nyuma tumecha hata kujitangaza kwa hayo majina maana tunakuja fananishwa na watu wa kila nna aina hii.

Wakili msomi Petro E. Mselewa naamini hautafuta kauli yako hii siku ambayo Kabudi atapeleka bungeni mswada wa kuinyonga TLS.
 
Back
Top Bottom