Ni maneno yawezayo kupata tafsiri pana katika utawala uliokutunuku cheo cha uwaziri. Jee waweza kuyarudia kuyatamka tena bila kigugumizi nasi tukakuamini kuwa kumbe yalitoka moyoni nawe ni mkweli mwalimu wetu?
Soma tena, baada ya cheo
Unajua nilijiuliza sana siku ile alipokuwa anajibishana na Lissu bungeni na wapenzi wa ccm wakatamba mpaka Gazeti lao likasema Kabudi atoa darasa bungeni. Wengine wakasema kiboko yao nk.Chakaza unanitafuta ugomvi,au unataka kutekwa au kupotezwa?