Je, Prof. Kabudi anaweza kuwa Rais wa awamu ya sita wa JMT? haya ndio matazamio yangu

FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,201
1,839
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
 
Acha kumlinganisha lissu na vitu visivyoeleweka!
Kabudi yeye ni bingwa wa kufundisha tu ila Lissu yeye ni bingwa kwasababu muda wote yupo huko ambako kama mpambano wa kisheria unafanyika ndio maana kila uchwao ang:aa!

Hebu tuwe wa kweli hivi kabudi ukiacha kufundisha jambo gani la maana linaloonekana amelifanya tukaona matokeo chanya??

Kwangu mimi Lissu ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Katika Sifa zangu Kumi ( 10 ) ambazo hata ' Kitaaluma ' na hadi ' Kisaikolojia ' bila kusahau ' Kiuongozi ' zinatakiwa na zinakubalika sana kama siyo mno huyu ' Sycophant Professor ' wako Palamagamba Kabudi Yeye ana Tatu ( 3 ) za zilizobaki zote ni ' Mtupu ' kabisa. Labda akawe Rais wa Jamhuri ya Familia yako na Koo zako zote mbili za kwa Baba na kwa Mama yako ila kwa Tanzania kama nchi hatufai na asithubutu kabisa japo najua hata Kiumri hawezi tena kuwa Rais.
 
Ule utaratibu wa kupokezana kijiti Muislamu na Mkristo haupo tena? au kabudi ni Muislamu?
Nyerere - Christian
Mwinyi - Muslim
Mkapa - Christian
Kikwete - Muslim
Magufuli - Christian
Next - Muslim
 
Acha kumlinganisha lissu na vitu visivyoeleweka!
Kabudi yeye ni bingwa wa kufundisha tu ila Lissu yeye ni bingwa kwasababu muda wote yupo huko ambako kama mpambano wa kisheria unafanyika ndio maana kila uchwao ang:aa!

Hebu tuwe wa kweli hivi kabudi ukiacha kufundisha jambo gani la maana linaloonekana amelifanya tukaona matokeo chanya??

Kwangu mimi Lissu ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Na hajakuelewa zaidi Mkuu mwambie kuwa Tundu Lissu ni Lionel Messi wa Sheria wakati Palamagamba Kabudi ni Christiano Ronaldo wa Sheria. Hapa namaanisha kwamba Messi ( Tundu Lissu ) amezaliwa na Kipaji chake cha Masuala ya Mpira ( Sheria ) huku Ronaldo ( Palamagamba Kabudi ) bila mazoezi ( practice ) hawezi kuwa Mchezaji ( Mwanasheria ) mzuri.
 
Ule utaratibu wa kupokezana kijiti Muislamu na Mkristo haupo tena? au kabudi ni Muislamu?
Nyerere - Christian
Mwinyi - Muslim
Mkapa - Christian
Kikwete - Muslim
Magufuli - Christian
Next - Muslim
kama zanzibar sio taifa la kiislamu , mbona hakuna rais aliyewahi kuwa mkristo?
 
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
Umekosa uteuzi kwa huyu kwa sababu hufai nafasi yoyote sasa unampigia debe ajae ili aje akuteue kuwa Waziri Mkuu? Hatutaki king makers ambao uzoefu umetuonyesha wanatuletea viongozi dhaifu mpaka nchi yetu na sisi tunadharaulika na walimwengu. Kiongozi mzuri huwa anajitokeza mwenyewe hata kabla ya kupata madaraka. Mpaka sasa hivi huko CCM b

Umekosa uteuzi kwa aliyopo kwa kuwa hufai kwa nafasi yoyote sasa unampigia debe ajae ili aje akuteue kuwa Waziri Mkuu? Kiongozi mzuri hujitokeza mwenyewe hata kabla ya kupata madaraka. Mpaka sasa huko CCM hakuna kitu.
 
Kabudi anaweza kuwa rais kama mimi, wewe na wengineo kikatiba ila kabudi kuna uwezekanao zaidi wa kuwa rais kuliko mimi, wewe na wengineo
 
Na hajakuelewa zaidi Mkuu mwambie kuwa Tundu Lissu ni Lionel Messi wa Sheria wakati Palamagamba Kabudi ni Christiano Ronaldo wa Sheria. Hapa namaanisha kwamba Messi ( Tundu Lissu ) amezaliwa na Kipaji chake cha Masuala ya Mpira ( Sheria ) huku Ronaldo ( Palamagamba Kabudi ) bila mazoezi ( practice ) hawezi kuwa Mchezaji ( Mwanasheria ) mzuri.
Ewaaaaa asante kwa nyongeza!
 
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
Watu watakubeza ........ Lakini so far jamaa anaelekea kama vile atakabidhiwa kijiti provided that atamaintain his good whatever na atepuka kummudhi Mkulu. Kila dalili zinaonyesha kuwa No. 1 anamuhusudu sana huyu bwana. Na kwa jinsi utawala wa awamu hii ulivyo ni lazima itabidi ajitahidi kuweka mtu wake kwa udi na uvumba. Tofauti na huko nyuma, BM na JK walishindwa kufanya hivyo na hawakuwa na sababu kubwa sana ya kulazimishia mtu wao .... huyu wa sasa nafikiri hataweza kushindwa na pia ana kila sababu ya kuweka mtu wake anayemwamini ... Kwa vile Bashite haiwezekani .... naona karata kama inamuangukia huyu bwana!!
 
Declaration of interest: sijatumwa wala kutumiwa na Prof. Kabudi kuleta mada hii lakini kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea hasa yale yanayomuhusu yeye, ndio maana nimekuja na mtazamo huu juu ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ta sita wa JMT.

Prof.Kabudi kama ajulikanavyo, ni mwalimu na mwanataaluma nguli wa sheria na mmoja wa watu anayeheshimiwa sana Tanzania katika tasnia hiyo na kufikia hatua ya kuaminiwa na rais wetu katika masuala ya kisheria hasa marekebisho ya mikataba ya kinyonyaji dhidi ya nchi. Nampa kongole kwa kazi nzuri aliyoifanya mpaka sasa kwa kushirikiana na rais wetu.

Mimi ninamtazamo tofauti lakini sikatai mtazamo wa wengine juu ya nguli huyu wa sheria katika kufanya ubashiri through trend reading ya uwezekano wa yeye kuwa rais wa awamu ya sita wa JMT. Wengi wametoa maoni yao ya kuona kuwa atakuwa rais baada ya kuteuliwa kwake kuwa waziri wa mambo ya nje kwa kuwa rais wa awamu ya tatu na nne waliwahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na baadaye kuwa marais.

Mtazamo wangu juu ya uwezekano wa nguli huyu kuwa Rais wa JMT
  • Sote tunafahamu umuhimu wa Prof. Kabudi katika Nyanja ya sheria katika nchi yetu na hata kupelekea kupewa uwaziri wa sheria. Bila kutarajia akabadilishwa wizara ya mambo ya nje na katika hili nakubaliana na wenzangu wenye mtazamo kuwa kapelekwa wizara ya mambo ya nje kupata uzoefu wa kimataifa katika masuala mbalimbali ili kujianda kushika uongozi wa ofisi hiyo kubwa nchini. Huu ni mtazamo wa wengi hauna budi kuheshimiwa.

  • Hoja yangu nyingine ni kuhusu sakata hili la CAG vs Bunge. Je, rais aliona kwamba sakata hili linaweza kumchafua na kumuweka mahali pabaya kisiasa nguli huyo wa sheria kwa kuwa naye ni waziri wa sheria kwa kushindwa kulimudu hivyo akaamua kumuamisha. Huu ni mtazamo tu.

  • Suala la Tundu Lissu. tundu lissu anaamini katika uwezo wa prof. kabudi katika mambo ya kisheria. Je, hakuna uwezekano wa Prof. Kabudi kuwa nominated kugombea urais ili kuweza kushughulika na Tundu katika masuala ya Kisheria katika kampeni kama ikitokea Tundu Lissu akapewa nafasi na Chama chake kugombea urais?

  • Utendaji uliotukuka. Prof. Kabudi ni moja ya watendaji waaminifu na wazalendo katika awamu hii ya tano. Ni moja ya watendaji wanaoweza kufanikisha mambo kwa asilimia kubwa bila kujali athari ila matokeo makubwa. Je, hii haiwezi kuwa sababu ya Prof. kabudi kuwa rais wa JMT?

  • Ujengaji mzuri wa hoja. Nimepata kumfahamu Prof. Kabudi katika bunge la katika na sasa ambapo ni waziri. Hakika ni mwalimu, si tu mwalimu wa UDSM bali ni mwalimu wa jamii nzima. Licha ya kuwa ni prof ila Kabudi anapoongea na kujenga hoja si tu wasomi wanamuelewa ila hata wale ambao hawakubahatika kwenda shule wanamuelewa vizuri tu.
rais wa 6 kama atatoka CCM, zamu itakuwa ni ya Waislamu (January, Nape, etc).
Kabudi anywe juisi ya pilipili tu!
 
Back
Top Bottom