Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,026
Mbona msisitizo Sana ...ila akipata fursa zipo nyiingi hii nafasiWanatumia tu kodi zetu bure, warudi nyumbani tuendelee kula mihogo.....hapati hiyo nafasi
Mbona msisitizo Sana ...ila akipata fursa zipo nyiingi hii nafasiWanatumia tu kodi zetu bure, warudi nyumbani tuendelee kula mihogo.....hapati hiyo nafasi
Sio kuchambuliwa, simple tu angesema ukweli, Sukari ya Nyumbani ni mchanganyiko wa Glucose na Fructose ,sio lazima ataje formulasWewe unataka mtu achambuliwe yale ma bond then itaongeza Nini akijua..?
Fursa zipi? Nchi itafaidikaje? Kulinganisha na hizo pesa za kupigia kampeni???Mbona msisitizo Sana ...ila akipata fursa zipo nyiingi hii nafasi
Ningetamani sana kama Janabi angejibu uongo wake kwa maelezo kama hayo ya huyo jamaa.
Mi najiuliza kwanini wana mnadi Afrika nzima? Akishinda tunapata faida gani, kuna upigaji au kujipendelea ?
Na gharama za kumzungusha Afrika nzima zinatoka mfuko gani nchi hii? ni zake binafsi au za umaa?
CAG atueleze mwakani tulitumia Bilioni ngapi kumnadi Janabi Afrika na tumepata faida gani au hasara kiasi gani.
Mi najiuliza kwanini wana mnadi Afrika nzima? Akishinda tunapata faida gani, kuna upigaji au kujipendelea ?--Faida zipo nyiingi yaani akiajiriwa Hapo mshahara wake wakutupwa, familia Yake nzima inakula mema ya nchi,ana weza kuajiri Watu wengine hio idara yaani Mkurugenzi ni cheo kipana Sana tunaweza tusimalize hapa faida
Na gharama za kumzungusha Afrika nzima zinatoka mfuko gani nchi hii? ni zake binafsi au za umaa--Fedha ni zako ww na mm
Matango yapo wapi hapo mkuu...Sio kuchambuliwa, simple tu angesema ukweli, Sukari ya Nyumbani ni mchanganyiko wa Glucose na Fructose ,sio lazima ataje formulas
Ila kutulisha uongo kuwa ni Glucose hapo lazima ahojiwe
Tanzania tuna ma professor wapumbavu wengi tuMatango yapo wapi hapo mkuu...
Alafu kitu hujui ni kwamba mwenzako ni prof achana na hyo jamaa ana mda mrefu katika hiyo fani anajua anachosema hvi kweli hilo la glucose ndo la kukamia hvi as if kasahau mkasi tumboni kwa mtu
Sio upande wa afya mkuu...Tanzania tuna ma professor wapumbavu wengi tu
Fursa nyiingi mamaaa mfano kuweza kuajiriwa wabongo international kwa ticket Yake Simu moja Tu,kuboresha huduma za afya...ngazi ya Nchii anakuwa na connection na ma nchi meeng Africa, kuboresha afya za mamilioni...Pesa za kampeni Hapo cjui ila mshahara wake ni mnene million 100+,Mkewe analipwa Nusu Yake ,watoto wanasomeshwa n.k(Yaani kama rais hivi) maana anakuwa Mkurugenzi WA WHO AfricaFursa zipi? Nchi itafaidikaje? Kulinganisha na hizo pesa za kupigia kampeni???
Kwamba akipata nafasi atapiga simu mtu wa kawaida aajiriwe??? Ikitokea hivo wataajiriwa watoto wa vigogo..... Ukizingatia born town ndo kampeni meneja jua tu hapo ni maslahi binafsi.Fursa nyiingi mamaaa mfano kuweza kuajiriwa wabongo international kwa ticket Yake Simu moja Tu,kuboresha huduma za afya...ngazi ya Nchii anakuwa na connection na ma nchi meeng Africa, kuboresha afya za mamilioni...Pesa za kampeni Hapo cjui ila mshahara wake ni mnene million 100+,Mkewe analipwa Nusu Yake ,watoto wanasomeshwa n.k(Yaani kama rais hivi) maana anakuwa Mkurugenzi WA WHO Africa
Hajui bio chemistry yule mzee, anawambia watu wanywe kijiko kimoja cha ujii😂, wakati mtu mume, anatakiwa ale calories si chini ya 2700 Sasa pigia kijiko kimoja ninkama mls 20 ivi, si ni bangi hiyo
tutaaminije wakati wewe biology ulikomea form two, zaidi ya kuchora panzi hujui kingineJanab ni muongo
Yaani!!! Vinginevyo huko vijijini watu wangeangamia sana, maana huko unakuta mtu anaamka na ndizi, haijakaa sawa anatandika embe tatu, mara unamuona anachakata papai Kisha anajituliza na muwa. Lakini hutosikia amedhurika. Sasa hii habari ya kwamba kuchanganya matunda ni vibaya.... Loooh!Ila Janabi ni wa kumstukia. Eti kuchanganya matunda ni vibaya. Daah
Dr Janabi amepata maadui wengi sijui kwa niniProf.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Kusema kwamba profesa hajui biology ya form 2 ( NUTRITION) au BIOCHEMISTRY ya form five si KWELIHata mimi nimeshangaa sana, sasa prof angeanza kuelezea haya 👇 kwenye hiyo hadhara watu wangemuelewa.
View attachment 3310088
ila nimelijibia kwa urefu hapo juu Prof Janabi awekwa mtu kati japo mimi sikua mwanafunzi wa Prof. 😅
Chatgpt ameichambua hyo video na huu ndo mtazamo wake.Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
😄😄😄Nimecheka sana..alisema kwanza KULA ni umama, mwanaume ukimaliza kunyonya maziwa ya mama yako, mwili wako hauhitaji tena msosi ni mwendo wa maji na mwanga wa jua tu kama JADUU wa koy mil gaya,....😳😳🙌😂🤣🤣🤸