Prof Janabi awekwa mtu kati

Prof Janabi awekwa mtu kati

Watanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.
Sasa huyu mzungu ameonyesha uongo gani wa alichosema Janabi? mbona kwenye video ameenda tu expand na kutolea maelezo zaidi yale aliyoyasema Prof.

Tuzingatie kwamba Janabi alikua naongea kwenye hadhara ya watu ambayo angeanza kubreak down hizo molecules wasingemuelewa, ametumia glocose kwenye maelezo kwa sababu ni aina ya sukari inayojulikana zaidi na watanzania kuliko hizo nyingine.

Kwenye Muktadha wa nutrition, kula mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kunasababisha kuconsume kiasi kikubwa cha sukari kwa sababu matunda yanatofautiana viwango vya aina za sukari zilivyonavyo. Kijiko kimoja kidogo cha sukari ni gramu 5, sasa fikiria ukijaza bakuli la mchanganyiko wa matunda umeweka ndizi, zabibu, embe, nanasi na machungwa, unakula gramu ngapi za sukari kwa mlo mmoja (matunda yana virutubisho na faida nyingi kwenye lishe hasa kwenye kutengeneza mlo kamili, ila ni muhimu yaliwe kwa kiasi).

Huyu mzungu anawapotosha na watu mnashupaza vichwa tu kijinga jinga, "za kuambiwa changanya na zako, sivyo utapoteana mjini hapa".

"Jedwali la kiwango cha sukari kwa kila gramu 100 ya matunda"
View attachment 3310073

Kiongozi, naona unajitahidi kumtetea Prof lakini naona kama utetezi wako hauja kaa sawasawa
Mfano; Mimi nikiwa shambani hula papai moja zima (msimu wa papai) pengine lenye uzito wa 750g
Sasa kama nikiwa nyumbani kikachanganya matunda na kupata pengine uzito wa 350g nikala
ni yupi amekula sukari nyingi?

Itoshe kusema kuwa, Kuchanganya matunda hakuna madhara yoyote ILA KINACHOTAKIWA ni kula kwa kiasi - ule tunda la aina moja au mchanganyiko (yasiwe mengi sana). Wakati wa msimu, wakulima huku mashambani hula tunda la aina moja hadi kushiba kabisa kwa hiyo bora hata wangechanganya.

Nafikiri Prof sio mtaalam wa lishe ILA anaijua lishe kiasi kutokana na kuwa mbobezi wa masuala ya moyo hivyo, lishe ya prof ni respect to heart health na sio Afya ya kawaida ya mwili wa binadamu.....
Kuhusu sucrose (sukari ya jikoni, miwa nk) nafikiri ni vizuri kutumia Sucrose kuliko Glucose anayoitumia ambayo ni sukari iliyochakatwa...
 
Daaah ila hapa nimeona kweli sisi wabongo jau sana aiseee...

Janabi yupo right kabisa wala hajakosea ni vile hamjajua tuu kuwa hao watu wawili ni tofauti .

Kuna mmoja ni msomi pia ni dactari aliyeshugudia kesi nyingi za magonjwa..

Alafu kuna mwingine ni mwana chemia tu.. sasa wewe akili ni yako utafata maneno ya nani
 
Sucrose = fructose+ glucose

Sucrase ni enzymes anayecatalyse sucrose kwenda kuwa fructose na glucose kwahyo janabi yupo sahihi japo kuna mambo madogo anachanganya anajikanyaga
Sio anachanganya ila ni vile anarahisisha communication...
Hv unajua kumuelekeza mtu ambaye ajasoma hayo mambo deep zaidi ni kupoteza muda ndio maana kuna mda anaongelea juu juu tu...

Kuna vitu ana skip ili kutokupoteza mda..
Mtu na uprofessa wake kusema ashindwe kujua ishu ya sugar seriously
 
Watanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.
Sasa huyu mzungu ameonyesha uongo gani wa alichosema Janabi? mbona kwenye video ameenda tu expand na kutolea maelezo zaidi yale aliyoyasema Prof.

Tuzingatie kwamba Janabi alikua naongea kwenye hadhara ya watu ambayo angeanza kubreak down hizo molecules wasingemuelewa, ametumia glocose kwenye maelezo kwa sababu ni aina ya sukari inayojulikana zaidi na watanzania kuliko hizo nyingine.

Kwenye Muktadha wa nutrition, kula mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kunasababisha kuconsume kiasi kikubwa cha sukari kwa sababu matunda yanatofautiana viwango vya aina za sukari zilivyonavyo. Kijiko kimoja kidogo cha sukari ni gramu 5, sasa fikiria ukijaza bakuli la mchanganyiko wa matunda umeweka ndizi, zabibu, embe, nanasi na machungwa, unakula gramu ngapi za sukari kwa mlo mmoja (matunda yana virutubisho na faida nyingi kwenye lishe hasa kwenye kutengeneza mlo kamili, ila ni muhimu yaliwe kwa kiasi).

Huyu mzungu anawapotosha na watu mnashupaza vichwa tu kijinga jinga, "za kuambiwa changanya na zako, sivyo utapoteana mjini hapa".

"Jedwali la kiwango cha sukari kwa kila gramu 100 ya matunda"
View attachment 3310073
Shangazi nakupenda sana 😘😘😘
Yaaani kwa maelezi haya najikuta nakukubali sana sana sana
 
Doooh basi acha niagize juisi ya muwa hapa, Janabi alitamba sana hapo kati
Ila Hata Hivyo Mimi Nakumbuka Miaka Mingi sana Nyuma Iloyopita Kipindi nasoma Bio chemistry mwalimu wangu aliniambie wewe Kula Sukari hata Gunia Zima Haliwezi likakuathiri chochote na Nimesoma Study nyingi zikithibitisha Hilo so Jamaa Nimeanza Kumkataa sana m
 
Au tunashadadia kwa vile amesema mzungu? Ina maana Tanzania hatuna wasomi waliokuwa wanafahamu hizo hoja anazokuja nazo mzungu? Ni vipi kama Janabi alikuwa anazungumzia hakuna ulazima wa kuchanganya matunda kama kote unaweza kupata fructose, maltose na sucrose? Hatuoni kama ukiyachanganya unaweza kuzidisha kiwango kinachojitajika na mwili? Wacha nisubiri wanafunzi wa Prof. Janabi wanavyoweza kumnasua mwalimu wao katika hili!
Wabongo wavivu wa kufikiria mkuu...😂😂
 
kw
Sio anachanganya ila ni vile anarahisisha communication...
Hv unajua kumuelekeza mtu ambaye ajasoma hayo mambo deep zaidi ni kupoteza muda ndio maana kuna mda anaongelea juu juu tu...

Kuna vitu ana skip ili kutokupoteza mda..
Mtu na uprofessa wake kusema ashindwe kujua ishu ya sugar seriously
kwa nini askip kama kweli kaamua kutoa elimu kwa watanzania?
anawahi wapi kwani
 
Angejikita kwenye maradhi ya moyò na moyo akaachana na mambo ya lishe.
Dadek na hapo ajagusia wale bacteria wanatokana na maziwa au wanaofanya maziwa yagande kuwa mtindi ..

Sijui ungekua na hali gani mda huu 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom