Peter Simba
Senior Member
- Nov 23, 2016
- 191
- 173
wee jamaa mkorofi sana aiseeMbona wadada wawili tofauti? Naona mmoja wa kunyumba mwingine mzungu, au inakuwaje hapo?
wee jamaa mkorofi sana aiseeMbona wadada wawili tofauti? Naona mmoja wa kunyumba mwingine mzungu, au inakuwaje hapo?
Hiyo ni kweli mkuu, huku mtaani kuna majirani wamebariki ndoa juzi ila huyo mama alivyokuwa amechemka kutoa mialiko hadi nikaona duh! Ukicheke watoto wao wameshakua watu wazima mabinti wanafunuliwa tu!Kwa mwanamke lazima utangaze mkuu... Ni siku ya ndoto yao maishani hata kama kazeeka
Yeah man... Yaani kuvalishwa Pete kwao ni sawa na mwanaume anavokua na ndoto ya kumiliki bonge la gariHiyo ni kweli mkuu, huku mtaani kuna majirani wamebariki ndoa juzi ila huyo mama alivyokuwa amechemka kutoa mialiko hadi nikaona duh! Ukicheke watoto wao wameshakua watu wazima mabinti wanafunuliwa tu!
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...
Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...
Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...
Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge
pole pole na mh Mbunge
unauliza majibu,Anamuoa mke wake.....
Kama wa Sugu vileUnajua Mbunge lazima uwe na Bebe anayeeleweka
Watu wanatafuta cheti cha ndoa. Kinafaida flan kiutumishimmekaa mpka mnazeeka ndo leo mnakuja na magoti mfu,eti mnavishana pete,nyambafu