Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Big up mheshimiwa kwa kuvalisha mtu pete


Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...

Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge

[/QUOTE]
 
Tena kwa hemshima kubwa kabsaaa yan is wife material bg up mbunge
 
Inamaanisha mwanamke aliyekuwa anaishi nae & wana Mtoto pamoja hakuwa amemuoa au huyu ni mwingine tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom