Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Kwa mwanamke lazima utangaze mkuu... Ni siku ya ndoto yao maishani hata kama kazeeka
Hiyo ni kweli mkuu, huku mtaani kuna majirani wamebariki ndoa juzi ila huyo mama alivyokuwa amechemka kutoa mialiko hadi nikaona duh! Ukicheke watoto wao wameshakua watu wazima mabinti wanafunuliwa tu!
 
Show off tu. Angeoa tu maana wameishi miaka mingi hadi wanamiliki chekechea, sio kumvalisha pete na kumuweka benchi tena mpaka wapate watoto wengine ndio akumbuke ndoa.
 
Yeah man... Yaani kuvalishwa Pete kwao ni sawa na mwanaume anavokua na ndoto ya kumiliki bonge la gari
 
Show off tu. Angeoa tu maana wameishi miaka mingi hadi wanamiliki chekechea, sio kumvalisha pete na kumuweka benchi tena mpaka wapate watoto wengine ndio akumbuke ndoa.
pole pole na mh Mbunge
 
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...

Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...

Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...

Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge

Kaaaah kumbe huyu mshua wa zari la mentari alikuwa bado kapera duuuh
 
baba lisa na mama lisa wanavalishana pete huku lisa wao ana miaka zaidi ya 10....

wamepika na kupakua zaidi ya 10 years
 
Huyu Jay nae kaanza Bongo Movies......!!?? hahhaahaa.... wa mitulingaaaaaa unazingua...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom