Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

A4.

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
670
Reaction score
108
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'

Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
attachment.php
 
Attachments

  • uhuru.jpg
    uhuru.jpg
    49.3 KB · Views: 11,209
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
 
UKAWA bye bye.....wakaanga sumu mtajibeba.....Jibu hoja sio kutoa mapovu tu
 
Naona single ya 'DENGI' imeshindwa kutawala mawazo ya wengi sasa wanataka kuibua nyingine kwa minajili ya kuziba ama kuvuruga mijadala na hoja za msingi.
 
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'

Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!

Wewe mwenyewe ccm,magazeti hauo ccm,
 
Hayo nayo ni magazeti?sidhani kama mtu ananunua upuuzi huo wa TAZAMA na UHURU
 
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.

Ahsanteh mkuu, umemaliza!
 
Serikali iko taabani kifedha, huku mamilioni yakiendelea kukwapuliwa kila kukicha!
 
AMA CCM Full kurukaruka! Kwanza ndiyo mwanzo kabisa,ngoja mtaelewa tu hata kwa fimbo.
 
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.

you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
 
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.

huna sababu ya kuyakashifu magazeti hayo. Cha msingi kwa statent hiyo ni kujiuliza kama kweli prof Lipumba ameyasema hayo maneno. Au kufanya utafiti wa kubaini kuwa kweli kauli hiyo imetamkwa popote na prof lipumba au viongozi baadhi toka cdm. nje ya hapo wewe huna tofauti na hayo magazeti unayoyaponda
 
Back
Top Bottom