Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. Lipumba
Chukua mfano flyover ya Ubungo inajengwa jwa miaka miwili na nusu, utatoa hela yote sasa sababu ipo kwenye bajeti ya 2016/17?!Kwa kweli prof. Kaongea utadhani sio mchumi. Budget huwa ni ya miezi 12 yeye anaongelea at huu ni mwanzo wa miradi pesa ingine itatolewa baadae how? Bora asingeongea kabisa
zamani nilijua una akili kumbe mpuuzi tu acha kujidhalilishaMa-CCM majinga sana!!! Eti hata hili la bajeti ya maenedeleo kutolewa only 34% hadi sasa nalo wanalitetea huku yakisahau na yenyewe ni waathirika wa mipango isiyotekelezwa kama sio isiyotekelezeka!
He is compromised, kumbukeni alitumbuliwa TCRA, atasema nini kwani pamoja na uprofessor wao wameshindwa ku break throughmaoni ya profesa wangu huyu nayashangaa, na juzi juzi nilisoma kwenye gazeti kuhusu maoni yake kuhusu utata wa majina ya mkuu wa mkoa wa DSM nilishangaa maoni yake.
Kuwaumbua au kuumbuka wote? Naomba kujua utaifa wako tafadhariMuda utaendelea kuwaaumbua tu.
Awe sawa asiwe sawa shida ni pale nchi iliyojaa watu wanaowachukia wafadhili eti ni wakoloni ma wezi wakati huo watu hao hao wanakuja kulalama kuwa wafadhili hawakuchangia sasa hii ni nchi kweli au ya kufikirika? Tuna Gas, mafuta, madini ya kila aina na bado tunasubiri wafadhiri mpaka bunge letu linafadhiliwa kiasi kikubwa na serikali ya Uingereza??? Halafu tunakuja humu mitandaoni tunawatukana? Wanajijua watoa povu la matusi kwa wafadhili. Mtajiju wangu wameshamaliza vyuo.Profesa njaa huyo anabembelezea uteuzi!
Mbona kajifanya kama vile hajui kuwa katika hizo trilioni 11 kuna fedha za ndani pia?Kwanini kahusisha kukwama huko kwa Bajeti na kukosekana kwa fedha za kutoka nje ya nchi tu bila kuongelea na kukwama kwa fedha za ndani?Anafichi nini?Maelezo yake yana mantiki, ila kwa waliojipanga kuanzisha 'visred' vya kukosoa au kuchagua maneno watajifanya vipofu.
Kasema kwamba nchi imeanzisha miradi mikubwa mipya, na wafadhili siyo kwamba wamegoma sababu wameshatoa fedha za mobilization. Hivyo tutegemee fedha za miradi husika kuja hata kama ni kwa kuchelewa tofauti na vile tulivyotaka.
Duh, yaani kuna watu wanakesha kuiombea mabaya Tz, kisa mh Rais aonekane kushindwa!
Yaani kaongea kwa style ya funika kombe mwanaharamu apite.Kwa kweli prof. Kaongea utadhani sio mchumi. Budget huwa ni ya miezi 12 yeye anaongelea at huu ni mwanzo wa miradi pesa ingine itatolewa baadae how? Bora asingeongea kabisa
MImi na wewe mpuuzi ni nani?! Hivi kuna mpuuzi zaidi ya yule anayeshangilia hata kutotekelezwa kwa bajeti?!zamani nilijua una akili kumbe mpuuzi tu acha kujidhalilisha
Kumbeee! Ndiyo maana.Huyu si professor bali ni Dr Haji Semboja. Isitoshe alitumbuliwa na Magu kutoka uenyekiti wa bodi ya TCRA mwaka jana kwa hiyo anajikomba ili arudi serikalini. Ni mwalimu wangu namjua A to Z.
Haya, tutafsirie sasa Hicho alichoongea maana naamini umeshaipata tafsiri kwa sasa.Nimemuona akiongea kwa umakini sana na maneno yake, nikatamani kupata tafsiri ya kina ya alichokisema kuliko kukimbilia kulaumu...
Huu ubashite ndiyo unamfanya Magufuli anaamishia bajeti yote Chato.Mnyika chuo kimemshinda alidisco leo anajifanya kuzungumzia bajeti hopeless kabisa
Mengine tunamezea!Udsm ina utajiri wa maprofesa na madokta vichwa maji
Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
kumbe ni mwalimu wa uchumi.Amenishangaza saana mwalimu wangu huyu wa uchumi dah......