Prof. Haji Semboja umenishangaza

naona vikaragosi vya lumumba mmekuja kutetea ujinga wenu. nyie hamuoni walakini bajeti against mipango utekelezaji=34% hilo haliwasikitishi.
Miradi mingi ya goverment waga inaenda up to 3-5 yrs kwa hiyo financing yake si kwa bajeti moja tu.
Mbona waga mnapenda kusikia hbr mbaya tu.muda wwotevipi masikio yamejaa cerumen wax?
 
Absolutely!
 
Profesa njaa tu. Nchi ya kibashite hii.
 
Aliyewaita nyumbu.hakika anasitahili nobel prize ya ubunifu.
Yaani alicheza mulemule.
Yaani unabishana na proffesor kwa mambo ya taaluma yake.kwa utashi wa kisiasa ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
 
Kuweka mihemuko ya kisiasa pembeni, Daktari Haji Semboja ameongea professionally. Sasa anayekubali akubali na anayekataa hoja zake afanye hivyo. Alichokiongea Daktari Semboja ni sahihi kabisa kwa wale wanaojua nchi inakoelekea. Pili, acheneni na mehemuko ya kisiasa. Unawezaje kumlinganisha mtu mwenye PhD na ni Mwl.(mhadhiri) anafundisha Chuo Kikuu, na form six leaver, Mnyika ambaye hana utaalam wowote, isipokuwa ubunge na uenezi na mawasiliano ndani ya Chadema (siyo vyama vya Siasa maana hivyo kuna wataalam wake akina Bana, Mukandala, Makulilo na wengineo). Mtu anayeidharau elimu namna hiyo, kiasi cha kumlinganisha msomi wa kiwango cha PhD na mhadhiri anayefundisha Chuo Kikuu na form vi leaver, basi ujue hata mtoto wake hawezi kumpeleka kusoma shule inayotoa elimu bora licha kuwa na uwezo wa kulipia elimu ya mwanae. Hawezi kuona tatizo kumpeleka mtoto wake shule za akina kayumba. Tuwe makini tafadhali.
 
Sasa jeuri ya kwamba nchi hii ni tajiri hatuhitaji misaada iko wapi?
 
Kwa kweli prof. Kaongea utadhani sio mchumi. Budget huwa ni ya miezi 12 yeye anaongelea at huu ni mwanzo wa miradi pesa ingine itatolewa baadae how? Bora asingeongea kabisa
 
Wooooote hakuna profesa ila woga na proppesa. labda atakumbukwa maana profesa wanachaguliwa sana

Huyu profesa ni mchumia tumbo anaependa sana kuuza sura kwenye vyombo vya habari!! Hizi ni enzi za Ngosha hapendi wanaojipendekeza kama walivyozoea enzi za babu wa Msoga!!
 
Ma-CCM majinga sana!!! Eti hata hili la bajeti ya maenedeleo kutolewa only 34% hadi sasa nalo wanalitetea huku yakisahau na yenyewe ni waathirika wa mipango isiyotekelezwa kama sio isiyotekelezeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…