Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
- Thread starter
-
- #41
Mkawadanganye wa vijijini.Hawa chadema akili zao ndogo sana. Wameamua kutumia hizi takwimu za asilimia 34% fedha ya maendeleo kuwa imetolewa mpaka sasa kuhadaa wananchi wajinga kama mleta mada. Pesa ya Miradi ya maendeleo hutolewa kwa awamu kadiri mkandarasi anapotoa taarifa ya kumaliza kazi na kukabidhi hati. Pia miradi mingine ipo ngazi ya zabuni, nyingine wakandarasi ndio wanapeleka vifaa kwenye eneo la kazi
Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
Sasa mnategemea nini mnapofanya negative publicity.kwenye tawi mlilolikalia. Wafadhili wataacha halafu unalia upuuzi huu, shit on you!!!!Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Hamtapata wa kudanganya kama mlivyozoea. Watu wanawatazama mnavyokuja kijingajinga na kuwatuliza na uongo wenu.Mkawadanganye wa vijijini.
Ukiwa profesa mshahara utakuwa mkubwa. Uprofesa hauna uhusiano sana na umahiri; isipokuwa mshahara na kupanda cheo.Maprofessor wetu wananipa shaka kufikiria kusoma PhD kama nitakujakufikiria kama wao bora nisipoteze muda wangu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Rangi ya kijani bwana sasa hutaki ukweli au??Ulitakaje?.haya toa maoni yako sasa
Natafakari tu maana ya kuitwa "NYUMBU"Wabongo tunapenda sana kusikia mtu akihojiwa kuhusu suala la kiserekali asiwe upande wa serekali hapo atakua yuko sahihi na watu humu watampongeza sana..Ila akisimamia ukweli professionally lazima atapondwa..tuheshimu professional za watu..Msiseme hayuko sahihi kwa kutokusikia vitu masikio yako yanayotaka kusikia muda wote
naona vikaragosi vya lumumba mmekuja kutetea ujinga wenu. nyie hamuoni walakini bajeti against mipango utekelezaji=34% hilo haliwasikitishi.Tatizo la hawa wafitini.wanataka kusikia mtu anaponda tu.pumbavu zenu. Proffessa katoa uchambuzi pamoja na maoni yake kitaalamu zaidi na ameonesha ujuzi wake pasipo kuingiza siasa za kikuda.
Vipi nikwanini upende kusikia kitu ambacho kitakufurahisha wewe,kwa kupitia mdomo wa mmwingine very pathetic indeed.
samahani hii serikali ina muda gani madarakani? Ina maana kila siku iko kwenye hatua moja.Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
Mnyika ni form VI tu Hana profession yoyote. Hana academic authority yoyote. Amesema kama muuza mitumba fulani. Watu kama hao huwa sipoteza hata sekunde moja kuwasikiliza kwenye mambo ya kitaalam kama haya.Watu kama akina Mbowe. Ni kupoteza muda mtakatifu kuwasikiliza. They are laymen.Mkawadanganye wa vijijini.
Kutetea ujinga kunahitaji phdNimesikia profesa yuko sahihi kabisa Ila usipende kusikia kinachokufurahisha tu...Pendant kusikia vitu vya kweli..Profesa yuko sawa kabisa kiuchumi lakini
JF siku hizi imekuwa vituko,yani mbuzi wa chadema ambae hata form two hakufika anamkashfu huyu profesa kweli?