PostGE2025 Prof. Chijoriga: Lazima tusameheane ili Taifa lisonge mbele

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,298
Reaction score
18,438
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.

Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.
Huyu ni profedheha kama kabudi hana hata maana wala la maana. Jina lenyewe tosha eti chijoriga joriga joriga maaavi
 
Taifa linaendeshwa kwa sheria, watu washitakiwe. Mungu pia anaangalia jinsi tunavyofuata sheria tulizojiwekea. Ndo maana Yesu akasema ya kaizari mpeni kaizari. Ndo maana ukiwa unatakiwa kulipa kodi na ukakwepa, kibiblia wewe ni mwizi. Chijoriga nakukumbuka pale UDSM lakini be strategic please dont be lousy and professor majajala
 
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.

Apeleke huko Usenge wake.

Yaaan Ujue watu Kwa makusudi alafu Uombe MSAMAHA??.Ubaki unadunda??.

Pumbavu kabisa
 
Hawa watu wana matatizo...SSH..si alisema ameshawasamehe...au anataka watu wamsamehe SSH? Kakosa nini?
 
Ni kweli kabisa bila kusameheana maisha hayataenda .
Ila kusameheana kwa namna gani , nani amsamehe mwenzakw na nani asamehewe! Nani mkosa nani mkosewa,.
Mkosaji atahakikisha vipi kutorudia kosa , ndio maana kuna sehemu za kusuhisha ambayo ni mahakamani.
 
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.

Prof this is for you
 
Attachments

  • 20251114_065928.jpg
    20251114_065928.jpg
    93.4 KB · Views: 19
Taifa hili baada ya maafa yaliyotokea haliwezi kusonga mbele bila ya wahusika kuwajibika. Waliosababisha machafuko wanajulikana na sababu zilizopelekea machafuko kutokea zinajulikana hivyo ili Taifa kusonga mbele ni lazima kuwatendea haki wale waliopoteza maisha yao kwa kuwawajibisha wahusika bila kuwaonea aibu. Mambo ya msamaha yatakuja baada ya kuwajibishana.
 
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.

Anaye ndugu ama mtoto aliyeuawa? Kama hana basi ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
 
Ni kweli kabisa bila kusameheana maisha hayataenda .
Ila kusameheana kwa namna gani , nani amsamehe mwenzakw na nani asamehewe! Nani mkosa nani mkosewa,.
Mkosaji atahakikisha vipi kutorudia kosa , ndio maana kuna sehemu za kusuhisha ambayo ni mahakamani.

..sasa hivi serikali inasema wakosaji ni waandamanaji ndio msingi wa hoja ya Mama Abduli kuwasamehe.
 
Anaye ndugu ama mtoto aliyeuawa? Kama hana basi ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
Professor uchwara. Wewe unadhani kusamehe inakuja tu. Kwa nini husiseme huyu kibibi ajiuzuru kwa sababu hakuchaguliwa. Itakuwa ni ujinga mkubwa sana mtu anaingia madarakani kwa hila kabisa harafu anaua watu then unakuja na kusema tusameheane. Pumbavu sana wewe
 
Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?

==

Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.

Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.

Hivi unamsameheje mtu ambaye hata kukiri makosa yake hataki?
 
Back
Top Bottom