maridhiano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliachiwa huru ndio maridhiano yakafanyika. Kwanini kwa Lissu wanalazimisha maridhiano ndio aachiwe?

    Umuofya kwenu? Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada. Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8 akaachiwa huru. Siku hiyo hiyo aliwakimbia Makamanda waliofika nyumbani kwake kumpa pole kupitia...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa Maridhiano ya Amani kitaifa, Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya

    My friends, ladies and gentlemen, Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Maridhiano ni jambo la hiari sio kulazimishwa

    "Maridhiano ni jambo la hiari" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza Februari 10, 2026 katika mahojiano na BBC Swahili, amesema endapo kutakuwa na wadau watakaokataa kushiriki kwenye maridhiano mara mchakato huo utakapoanza, hawatalazimishwa kufanya hivyo kwani kushiriki kwenye...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Chijoriga: Lazima tusameheane ili Taifa lisonge mbele

    Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi? == Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa...
Back
Top Bottom