Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama.

Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.

images (45).jpeg
 
Mkuu, sasa ukiwaweka Mataisoni wawili pale juu, si watabutuana wao kwa wao, ilhali wakisahau kazi yao ya kuwafyatua kisiasa wapinzani wao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom