Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu


Sina uhakika kuwa unajua umewahi kusoma taarifa ya ukaguzi wa mahesabu. Maneno aliyotumia Prof. kwenye ripotizakeni maneno ya kawaida kabisa na yametumiwasiku zote na watangulizi wake. Nenoudhaifu huwezi kulikosa katika ripoti yoyote ya ukaguzi hasakwenye taasisi za serikali. Maneno kama hayo au yanayofanana na piayametumika katika ripoti za PPRA as recent aslast year mwishoni walipo toa ripoti zao. Kuyaona maneno hayo kwa mtazamo wenu na baadhi ya wabunge hasa wakijani ni tatizona sio la CAG. Approach inayotumika ku address issue hiini vita mpya inayokwamisha uwajibikaji wa serikali kwa bunge.Na ni mbolea nzuri sana kwa ufisadi.
 
mnafiki mkubwa
 
Siri ya nini wakati ripoti zake zikishatinga tu Bungeni ni public good. Mbona wakati wa kupanga na kupitisha bajeti mambo hadharani, ila ilivyotumika iwe siri, siri kwa faida ya nani?
Halafu ni pesa yetu walipa kodi, kama wanatoa mifukoni kwao ni haki yao kuweka siri, lakini kama ni hela zotu lazima kuwe na uwazi!
 
n
imefirsho kuona umejiunga mwaka huu
 
Mnataka kumsafisha Jiwe, huu ni ujinga wake!
 
K
Nimeshasema hii ni siri kali tulien
Kwanza nikiri kuwa nakuogopa sana tangu ulipomualert saanane na ikawa kweli! Ulisemalo lipo na linakuja na lipo hivi:
Kuna watu makini wanapiga hesabu ambazo hazileta hasara kwa taifa kuwa ni yupi nafuu wa kumpiga chini kati ya subhova na cag.
Hesabu za kumtoa cag ni ngumu na ghali kwani watatakiwa majaji kutoka jumuiya ya madola walioiva na wasiokuwa rafiki na rushwa ambao wataweza kuibua uchafu utakaicost nchi na ni gharama kuwaleta!
Ya pili na rahisi ni kumtupa nje subhova na gharama zake ni nafuu sana na hata yanayofichwa yataendelea kuwa katika hali hiyo na wananchi msijue kwani atakuwa kafungwa kiccm!
Namshauri atengue kauli kwani matumizi yake yameexipire tayari na naibu anakichungulia kiti kwani keshapata uzoevu wa kutosha.
Ukweli utadhihirika kabla ya jumatatu!
 

Mkuu umefanikiwa kuona mahojiano yake na kamati? Kama hujayaona umejuaje kuwa alionyesha dharau kwa wajumbe wa kamati?!
 
Muombe mzazi wako akulipie ada ukasome shule. You are nothing but an idiot of the highest order!! Huna elimu.
 
nchi hii tumezoea kunyenyekeane pale mtu mkubwa anapoharibu, wewe upo na kampuni yako umeniajiri mimi nikague mahesabu nimekagua na kuleta ripoti ya uoza uliopo, wewe hutaki kuchukua hatua unaibania ripoti. Lazima nitakwita dhaifu tu hakuna msamiati mwengine hapo. Mimi ninalinda taaluma yangu na kulinda CV yangu. Watanzania bana eti ooo Assad kiburi, sasa mlitaka anyenyekeee aombe radhi wakati kaongea ukweli? call a spade SPADE not a big spoon, Eti kwa ukubwa wa ofisi yake hakupaswa kuongea vile.... mlitaka akae kimyaa? Ahhhhh!!! come on people!!! Mbona mkulu anaongea maneno makali daily haambiwi akae kimya??? Aiseee!!!
 
Ni serikali au bunge sababu serikali ndio alipo CAG ebu edit huu udhaifu wako kwanza. Tuna mihimili 3 Bunge, Serikali na Mahakama.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense. Huo mhimili una nguvu kwa Assad tu.
 

Natural Justice ipo wp?

CAG, kaomba Hansard itolewe hadharani, Jamii ipate kujua Maswali ya kamati na majibu yake kwa Maswali ya Kamati.

Bunge bado kuitoa hiyo Hansard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…