Product rule.... !!! Wale wazee wa mambo yetu.

Halafu ukiisha kui solve ufanye nayo nini wakati sijui ntakula nini leo na asubuhi sina uwezo wa chai. Mpelekee mzee wa mikasi naskia amebobea kwa mambo ya nuc
 
uwezi kufanya product rule bila kufanya chain rule kwanza Hesabu ni mchezo mtamu ukizijua mpaka raha hahahahahaa
 
Napenda sana equations. I don't see numbers or letters, isee beauty
 
nnacho kifahamu (malengo + imani + matendo )Mungu = Mafanikio. izo hesabu zingine mbwembwe 2 kama unataka kuprove nipe swali
 
Hapo ukinipa mimi, nikukata tu.... Hii inakufa na ile, mpaka zinaisha zote nabaki na x tu. Ndo raha yangu.
 
Ya nini kusumbua akili wakati kila kitu nchini ni 'MADE IN CHINA'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…