Pro -mech ltd kampuni inayoficha uhalifu wa matraffic tazara

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Wapendwa kuna kampuni moja ukiwa tazara kuelekea mjini kushoto kuna hii kampuni wamefanya kama sehemu ya kukatia vichwa vya ngombe na mbuzi kule vingunguti ..nasema hivi nikimaanisha imekuwa sehemu ya matraffic wa pale tazara kuanza kukuomba pesa utakapokamatwa..
Nilishangaa nikiwa namsubiri mke wangu kuchukua chei ya nssf twende loliondo kwa babu wakaingia kama watu 5 na traffic 3 dada 2 na kaka mmoja

nilipoona hivyo gafla nikaijfanya nasogelea nikakuta madada wawili wanakunywa redbull na mmoja anakunywa savannah akiwa na jezi mwili ulisisimka mno

nikaona gafula msurur wa makonda..nikamuuliza muuza maji akasema kaa ile ndio central ya mjini...nilisikitika sana gafla akanionyesha gari ya suzuki nyekundu it774 abf inayomilikiwa na mwanamama mmoja mwenye nyota..na t188 aek na mark two t420aet zote n maliza hawa polisi ...nikiwa nasubiri kidogo nkaona konda anakuja mama mmoja akatoka kwenda gari nyekundu konda akamfwata akampa hela liveeeeee yaani hata aangalii pemben kama kuna mtu niliogopa sana

sitoi lawama kwa hawa wah najua serikali ndio imeafikisha mlipo hapo na ndio maana mmechelewa kila mtu anafait kutembea naa gari safi kama wakina mahita ,,tibaigana na sio wao pekeewanakalia mashangangi

wazo langu si kuwakataza bali kuomba mh lukuvi awaboreshe waweze kuchukua hizi hela kwa amani bila kificho na pia wawekewe hata ffu kuwalinda zile hela wanazochukua..kama babu aanapelekewa ulinzi wa 500 hawa wanaokula laki kwa siku si muhmu zaid

serikali tuwaboreshe maafande wetu waishi hata kama si pepon basi ufalme wa babu uwakaribie
 
Maama mmoja j.j kinawa anaweza kutusaidia hali halisi ya pale
 
pole kaka Pdidy hii ndio hali halisi ya bongo kila sehemu matrafik wanakula vichwa kama hawana akili nzuri, ni kweli ni bora serikali ikaruhusu tu na ikiwezekana wakatwe kodi katika mapato yao. Tanzania nchi yangu imekuwa kama gheto la mateja hamna hata kimoja kilicho kwenye mpangilio mbele giza nyuma giza sijui tutafika.
 
CHUKUWA CHAKO MAPEMA, Nchi imeshauzwa tunasubiria Risiti.
 
Back
Top Bottom