Mzee wa SUP
Member
- Mar 19, 2012
- 62
- 18
Wapi Pasco??wapi yule aliyetueleza kwamba Mzee Lowasa yupo German mzima wa afya!!
CDM kweli kiboko yao.Naamini mpaka 2014,huyu Mzee kama akigombea urais atakuwa na uwakika wa kula za Monduli tu.
natamani waje kukanusha kwamba jamaa hakupigwa jiwe!
matukio nyeti ya arumeru hayo!fafanua mkuu, wengine kiswahili tulisoma ili tufaulu mtihani tu.
nyeti.
basi mkuu nimekuelewa
wapi pasco??wapi yule aliyetueleza kwamba mzee lowasa yupo german mzima wa afya!!
Cdm kweli kiboko yao.naamini mpaka 2014,huyu mzee kama akigombea urais atakuwa na uwakika wa kula za monduli tu.
Mbopo naona unashangilia sana huu ushindi wa Arumeru kuliko hata CHADEMA wenyewe walioshinda Ubunge.
mzee mamvi anacheza karata na Kanisa wakati mmoja wa waumini wa Kanisa ni mimi.
akacheze karata na mafisadi wenzake.
Mbopo naona unashangilia sana huu ushindi wa Arumeru kuliko hata CHADEMA wenyewe walioshinda Ubunge.
Ha ha ha Huyo Jamaa anahisi kuanguka kwa CCM Arusha ni Kuanguka kwa Lowasa? Anahisi jamaa yake Membe atatokea hapo.
CCM Wote ni Wezi
Mwacheni pasco amkamue pesa yule mzee.
Hata pasco anajua fika kuwa mzee huyu hata ubunge 2015 hatapata.
OTIS
Akili yako inavyokutuma CDM ni mbowe,zitto,slaa,mnyika na viongozi wengne waandamizi.CDM ni yakila mtu, uwe msomi,maskini,mwanajeshi,magereza,mtumishi wa serikali n.k. Kwahyo hata sisi ni wadau wakubwa wa CDM.
PEOPLES.... POWEEER...