Pro-Hillary leo wako wapi?


Huu mfano wako wa Cavs na GSW utasababisha wadau wa GSW wasichangie humu.

Ila uchaguzi huu umeonesha Wamarekani walivyo wanafiki, wanaponda kile anachoongea mdomoni huku moyoni wanakubali, nadhani hii ndo imempa ushindi kwa sehemu kubwa kwa sababu anawakilisha mawazo yao mia kwa mia.

Nimemwonea huruma pia Obama maneno aliyoyatamka dhidi ya lijamaa na lijamaa linachukua ofisi sasa, yaani sijui itakuwaje.

Kina LBJ wamealikwa wanaenda Whitehouse leo, ambapo pia Trump atakuwa Whitehouse, LBJ aibu make amemkampenia mama Clinton na bado Trump akawabeat Ohio, aibu sana.
 
Safi sana, kumbe tupo wengi tuliona hili tatizo, siyo BBC peke yake hata DW walikuwa wanamuweka proffesor Boaz eti ndiyo mchambuzi wa maoni ya wagombea urais na kumsifia Hillary na Kusema kuwa ni lazima ashinde, ni aibu sana ila Trump kuwaziba ngebe kabisa na wanaona aibu
 
CNN ndo walikuwa in shock

hata kutangaza mshindi walishindwa....

kama walikuwa bado hawaamini.....

Sijui Hilary ana mkosi gani hadi Michigan nako wameenda Red...
Siyo Michigan tu....hata Wisconsin ambayo haijaenda GOP kwa muda mrefu.

Ila kusema ukweli Hillary si mwanasiasa mzuri na hata ye mwenyewe analijua hilo na keshawahi kukiri hadharani.

Hata mwaka 2008 karibu kila mtu alidhani kuwa yeye ndo atakuwa nominee lakini akaja kushindwa na Obama.

Mwaka huu na wenyewe umekuwa kama 2008. Watu wengi walidhani atashinda [nikiwemo mimi] lakini ndo hivyo tena...haijawa.

Hillary ha connect na watu. Hayuko relatable kabisa.

Na kama asingekuwa mke wa rais wa zamani basi naamini hata huo useneta wa NY wala asingeupata.
 
Dah...nafurahi kuona wenye hizo sentiments tupo wengi.

Mainstream media wamekera mno.
 

Inawezekana Trump pia akawa amefundishwa watu jinsi ya ku kampeni?
naona alijali sana rallies kuliko matangazo ya TV...

najiuliza na yale makampuni ya polls yataweza ku recover?
 
Inawezekana Trump pia akawa amefundishwa watu jinsi ya ku kampeni?
naona alijali sana rallies kuliko matangazo ya TV...

Trump ameweza ku connect kwa sababu anaongea lugha inayoeleweka na watu wa kawaida, hususan wale blue collar white voters.

White voters kwa ujumla wana comprise zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura. Wao ndo voting block pekee wanaoweza kumpa ushindi mgombea urais bila ya kuwa hata na minority votes.

Watu weusi ni asilimia 11-12 ya wapiga kura. Na kati yao hao, asilimia karibu 90 huwa wanampigia kura mgombea wa Democrats.

Sasa hebu imagine asilimia 90 ya hao white voters wakimpigia kura mgombea mmoja, tuseme wa GOP. Hapo ushindi ni lazima tu.

Ila uzuri wa wazungu wao huwa hawapigi kura kwa mtindo huo. Huwa wanazigawanya vizuri kura zao kwa wagombea wa vyama vyote na nadhani hivyo ndivyo inavyopaswa iwe pia kwa watu weusi.

Halafu Trump wala hajatumia hela nyingi kivile ukilinganisha na Cllinton. Jamaa mjanja kweli.

najiuliza na yale makampuni ya polls yataweza ku recover?

Hayo makampuni pamoja na washirika wao kwenye mainstream media wamepata aibu kubwa mno.

Mimi naamini kuwa hao pollsters walikuwa wakizipika hizo polls ku shape/ influence public opinion na si ku reflect public opinion.

Halafu guess what? Muda wote wa kampeni Trump alikuwa akisema 'don't believe the polls...they are biased'. Watu wakawa wanamdhihaki na kusema kwamba anasema hivyo kwa vile tu hizo polls zinaonyesha anashindwa.

Nani anamcheka mwenzie sasa hivi? Trump was right. 100% right.


Pollsters suffer huge embarrassment
 


Tulikuwa tunamuona kama jinga asiejua kitu kuhusu politics
kumbe ameweza kuwa outsmart kila mtu
naona hii style yake ya kampeni imebadili kabisa hii game

watu walidhani kutumia hela nyingi ndo ushindi.....kumbe wapi...
 
Tulikuwa tunamuona kama jinga asiejua kitu kuhusu politics
kumbe ameweza kuwa outsmart kila mtu
naona hii style yake ya kampeni imebadili kabisa hii game

watu walidhani kutumia hela nyingi ndo ushindi.....kumbe wapi...

Nami ni mmoja wa hao tuliokuwa tunam-dismiss.

Hahahaa...jamaa ni kiboko aisee.

Obama mwenyewe alisema Trump hawezi kuwa POTUS.

But guess what...ndani ya masaa mawili yajayo Trump anatinga White House kwenda kuonana na Obama.

Na tayari motorcade yake ishaondoka kwenye makazi yake hapo NY kuelekea uwanja wa ndege kwa safari ya DC.
 


Obama atakuwa na maumivu....
naona alieweza kumuachia kiti mtu wake alikuwa Reagan tu....
 
Obama atakuwa na maumivu....
naona alieweza kumuachia kiti mtu wake alikuwa Reagan tu....

Hilo la Reagan kumwachia GOPer mwenzake nimeliongelea sana humu.

Kwa kawaida Wamarekani huwa hawakipi chama kimoja madaraka ya kukaa White House zaidi ya mihula miwili.

Ilitokea 1988 kwenye historia ya hivi karibuni. Lakini napo baada ya muhula mmoja wa G.H.W. Bush wakaamua kumtoa madarakani.

Imagine baada ya Gulf War ile 1991, Bush sr alikuwa na approval rating ya zaidi ya asilimia 90 lakini mwaka mmoja baadae wakampiga chini, akaja Clinton.

Hata mwaka 2000, licha ya kwamba uchumi wa Marekani ulikuwa mzuri kabisa, wapiga kura waliamua kubadilisha chama na kumchagua W. Bush.

Na mwaka huu pattern hiyo hiyo imeendelea. Uchumi wa Marekani si mbaya kivile kama ulivokuwa 2008 na Obama bado ni popular lakini watu wameamua kubadili chama.

Nililisema sana hilo humu....ila watu hawakunielewa.
 


Ila Clinton nae kama zali
bila Ross Perot labda asingeingia Ikulu
 

I cant wait the dream combination of Trump,Putin,Xi and Kim!

We are missing Silivio Berlusconi,it could be a deadly team........

Trump and Putin,scary team ever!
 
Yaani BBC=TBC
 
ccm imeharibu akili za wadanganyika wengi so hata wakifanya kazi kwenye Ngazi za kimataifa wanafikiri wako Tandale.....SHAME
 
CNN hadi Wolf kakutwa hajajiandaa
hadi Trump anaongea hawajamtangaza mshindi

sura za watangazaji zilikuwa kama msibani vile
Aibu sana kwa media kubwa kama hizo Ku behave as such. Waangalievsana, mimi kwa maono yangu hizo media very soon zitafuata nyayo za Star Tv
 
Tangu Mwishoni mwa October nilishaacha kuangalia CNN, DW na BBC only nilipokua kwenye public places
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…