Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,967
- Thread starter
-
- #21
Ila kusema ukweli sijawahi kukosea kama nilivokosea kwa Trump.USA Baby..
Hahah pole sana mkuu ww na Nabii TB Joshua, Achana na kitu kinaitwa Siasa.Ila kusema ukweli sijawahi kukosea kama nilivokosea kwa Trump.
Kwanza, nilikosea kudhani kuwa hawezi kabisa hata kutangaza nia ya kugombea urais kwa sababu hayuko serious. Akatangaza nia.
Pili, nikakosea kusema kuwa hata akigombea basi hatavuka hata duru ya kwanza ya mchuano wa ndani ya chama chake. Jamaa katusua mpaka akapata uteuzi.
Tatu, alipopata uteuzi nikasema kuwa hawezi kabisa kumshinda Hillary na kwamba atagaragazwa vibaya mno. Napo nikakosea.
Na ile video ya 'grab them by the pussy' ilipovuja ndo nikazidi kujipa imani kuwa hawezi kabisa kupenya mbele ya Hillary. Sasa ona kilichotokea!
Nne, I am done betting against Donald Trump. I am done because I don't like to be that wrong.
I will never again bet against him. Never.
hahaha what a zero...Trump kashinda kwa sababu was running against people like you lakini your tiny brain like ubuyu huwezi jua hilo pole sanaTeh teh teh....mbona wale pro-Hillary walokuwa wanashangalia opinion polls pamoja na 'ushindi' wa Hillary kwenye debates leo siwaoni humu?
Manake walikuwa na ngebe kama wale wapenzi wa Golden State Warriors Raimundo lakini leo kimyaaaaaa.
Trump ni kama Cleveland Cavaliers....against all odds kaishangaza dunia😀😀😀.
Watu walivyokuwa wanaziamini opinion polls utadhani uchaguzi huwa unafanyika kwa hizo polls.
Somo la huu uchaguzi:
1] Upendeleo wa waziwazi wa vyombo vya habari ni mbaya sana. Unaweza ukatengeneza backlash.
2] Opinion polls si lolote si chochote. Ziamini at your own risk.
3] Kushinda debates si kushinda uchaguzi. Niliseme hili mara ngapi?
4] Trump kawashikisha adabu wengi kwa kutumia nguvu ya umma
5] Wamarekani mara nyingi huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja. Hili nalo niliseme mara ngapi?
Pole jipe mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23].hahaha what a zero...Trump kashinda kwa sababu was running against people like you lakini your tiny brain like ubuyu huwezi jua hilo pole sana
Mi nimefurahi mainstream media walivyoumbuka tu.Nadhani tanzania waliona mbali sana na kuanza kuleta sheria za kupiga kabali vyanzo vya habari
Trump defeated establishments kwa kutumia nguvu ya access to info
Salute to him... There is surely mageuzi ya kweli duniani sasa
Mbona unakua muwazi hivyo kiasi cha kutisha mkuu!!? Unakua muwazi kiasi cha kumkaribia Trump.Ila kusema ukweli sijawahi kukosea kama nilivokosea kwa Trump.
Kwanza, nilikosea kudhani kuwa hawezi kabisa hata kutangaza nia ya kugombea urais kwa sababu hayuko serious. Akatangaza nia.
Pili, nikakosea kusema kuwa hata akigombea basi hatavuka hata duru ya kwanza ya mchuano wa ndani ya chama chake. Jamaa katusua mpaka akapata uteuzi.
Tatu, alipopata uteuzi nikasema kuwa hawezi kabisa kumshinda Hillary na kwamba atagaragazwa vibaya mno. Napo nikakosea.
Na ile video ya 'grab them by the pussy' ilipovuja ndo nikazidi kujipa imani kuwa hawezi kabisa kupenya mbele ya Hillary. Sasa ona kilichotokea!
Nne, I am done betting against Donald Trump. I am done because I don't like to be that wrong.
I will never again bet against him. Never.
Koba haupo peke yako katika hili. Mbona Nyani Ngabu na yeye amekiri vizuri tu kuhusu alivyokosea tangu awali!!hahaha what a zero...Trump kashinda kwa sababu was running against people like you lakini your tiny brain like ubuyu huwezi jua hilo pole sana
Tunaelekea mwisho wamainstream media... Ndio maana at&t ksona avute mgomba wake autumie kama kilainishi tu cha kuingia kwenye tasniaMi nimefurahi mainstream media walivyoumbuka tu.
Nisubiri kuona wale Celeb wakitimka US....
Kwa mtazamo wangu,Trump anaweza akawa Rais mzuri kutokea kuongoza us kwa miaka ya karibuni...... Jinsi watu wanavyoshangaa ushindi wake leo, ndivyo watakavyo shangaa mafanikio ya uongozi wake...... Trump tayari anazo nyumba zote tatu, tusubiri muda utatupa majibu ya mshangao kama yaliyotokea jana.
Unapaswa ujifunze demokrasia toka kwa obamaMtoe magufuli tafadhali hafanani na hizo level
Huo ujumbe nadhani ungewapa wale wasiotaka kuwaona wenzao wakifanya siasa, na kujiona wao tu ndio wanaostahili ingependeza sanaUnapaswa ujifunze demokrasia toka kwa obama
Inaitwa wasiompenda kaja mboyoyo mingi mama anabebwa na media toka mwanzo BBC, TB Joshua,CNN ni ugoro mtupu hata kutangaza matokeo jana walikuwa wanajichanganya sana
CNN na wenzao MSNBC jana walikuwa nyuma ya FOX news katika kutangaza mshindi wa majimbo.
Hapa nilipo natamani hao CNN ningewatoa kabisa katika channel lineup yangu ya Direct TV.
Nadhani mmeelewa.