assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Siasa za kijinga sana mtu anaumwa badala kutoa pole mnamdhihaki mh raisi. Pamoja hukubaliani nae ila wakati wamatatizo tunapaswa kuwa wamoja. Cheki msiba wa sataa wote wapinzani chama tawala walionyesha mshikamano.
hata mimi nimemshangaa mleta mada, ni u kichaa kufukuza aliye kuibia nguo ukiwa unaoga bafuni.... kaanika picha hadharani hata ambao hawajaona sasa wanaona.... idiot kabisaYaani wewe ndiwe unayedhihaki halafu unasingizia wengine. Wewe jamaa bure kabisa
Nabisha haugui Busha ni TEZI DUME (Prostate) Benign Prostate Hypertrophy (BPH) ugonjwa unaowapata wanaume wazee wachapaji.Kwani hajawapa gesi wachina....??? kwani haugui Busha.....hivi kusema au kufikisha ujumbe wa ukweli ni dhihaka...???