East Africa Dodoma ndio wanaoongoza kwa usafiri stableInasikitisha aisee..au magari machakavuu mpka unashangaa...
Huku Dom shule zinazoongoza mabus mazuri ya shule mengi na mazuri ni Sthome primary school...aisee hii shule ni noma...
Martin Luther yani magari ni mengi watoto wamekaa level wote...
Nyingine sasa mpk huruma