Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Inahusu nini mkuukuna muvi nliipenda sana inaitwa Grimm...hii nliifuatilia kutoka mwanzo hadi mwisho na inapendeza sana..
The vikings., is the best
the vikings kama wewe huzipendi epics huwezi kuichangamkia..ila naipenda sana..kwanza vile ragnar alikufa like a real king nlipenda sana ukakamavu wake...pia atlantis iko vizuriThe vikings., is the best
the vikings kama wewe huzipendi epics huwezi kuichangamkia..ila naipenda sana..kwanza vile ragnar alikufa like a real king nlipenda sana ukakamavu wake...pia atlantis iko vizuri
inahusu grimm(mtu mwenye uwezo wa kuona binadamu wenye uwezo wa kujibadilisha na kuwa na sura mbalimbali hivyo kupata nguvu zisizo za kawaida).inasadifu kuwa huyu grimm ni mwanapolisi katika kitengo cha detectives hivyo huhusika sana na uchunguzi katika mabaya yanayofanywa na hao binadamu wenye huo uwezo wa kujibadilisha(wesens)....we itafute..nakuhakikishia utaipenda sana..yani hutaki kukosa kuitazama...tena sio ya kutisha kama muvi zingine ukizitizama huwezi kupata usingiziInahusu nini mkuu
Itabidi niisake sio kwa hilo trailerinahusu grimm(mtu mwenye uwezo wa kuona binadamu wenye uwezo wa kujibadilisha na kuwa na sura mbalimbali hivyo kupata nguvu zisizo za kawaida).inasadifu kuwa huyu grimm ni mwanapolisi katika kitengo cha detectives hivyo huhusika sana na uchunguzi katika mabaya yanayofanywa na hao binadamu wenye huo uwezo wa kujibadilisha(wesens)....we itafute..nakuhakikishia utaipenda sana..yani hutaki kukosa kuitazama...tena sio ya kutisha kama muvi zingine ukizitizama huwezi kupata usingizi
Hiyo Breaking Bad hata sio nzurUnafananisha mashudu na mbegu.
Yaani Into the Bad land Watu wanapigana wanaruka Juu Kama Ndege.. serious na mtu unaifurahia .
Prison Break ni tamu, and reality, katafute na Breaking Bad.
Jaribu kuangalia series zenye akili, by the way sijui ww ni nani but Kama teneger kaangalie tu hiyo Bad land.
Nyingine season 5Jaman hii Prison Break Mnayoiongelea sana kwa sasa ndio ileile ya miaka ile au kuna nyingine.?
Kama unataka mkono then "Into the Badlands" inahusika
Kama unataka series yenye matumizi ya akili, ujasusi na intelijensia basi hujakosea kutazama Prison Break, by the way zile season za mwanzo za Fox River bado ni bomba kuliko za Sona au hii season 5...
We jamaa haupo serious kabisaaaaaaaaaaaHiyo Breaking Bad hata sio nzur
Yah ni nzuri.....lakini si kwa kuifananisha na prison break....au we umefananisha ktk mkono/ngumi tuuu?????Breaking Bad kitu kingine jaman duhhhh noma sana wale ma drug dila wapitie hili zaga,,,....
hapana mzee naikubali sana breaking bad....Yah ni nzuri.....lakini si kwa kuifananisha na prison break....au we umefananisha ktk mkono/ngumi tuuu?????