Prison break vs. 24 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prison break vs. 24

Discussion in 'Entertainment' started by donlucchese, Apr 3, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 7,133
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Eti wadau wa series,nimekua nikibishana na wenzangu kuhusu hili jambo. Je,kati ya 24 na prison break ipi ni series bomba? Kati ya michael scofield na jack bauer nan balaa?
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,780
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  prison nyoko...
  Prison iko juu vibaya mno.
  Kwanza kuna vichwa ambavyo kila kukicha ulitamani kujua kitakachoendelea.

  haimtegemei sana Michael coz kuna watu kama Lincolin, Sucre, Mahone, na Theodoro Bagwell pia nao walikuwa ni muhimu sana ktk series hii.

  All in all kama kuna mtu atabisha basi ntampeleka room namba 88 kwa mr Avocado kisha pazia linafungwa...
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,194
  Likes Received: 4,080
  Trophy Points: 280
  24 inatisha zaidi maana inakutanua sana akili na uwezo wa tech wenzetu walipofika.....pia linganisha the unit zinapanua sana uwezo kufukiria!!
   
 4. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mie napenda The UNIT! Ila Prison Break imekaa vizuri kwa maoni yangu
   
 5. araway

  araway JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kwakweli zote ni kali mbaya na zinaladha tofauti ni ngumu sana kufananisha utamu wa embe na chungwa . THE UNIT niliiangalia kidogo sikuipenda sana sijui uko mbele imeendeleaje. kwa sasa natafuta series kali kama hizo 24 na prison break:help:. na kwa ambaye hajaangalia LOST namshauri aitafut nayo ni nzuri sana.
   
 6. a

  ammah JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  prison break balaa
   
 7. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 7,133
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  aah mie naƶna 24 ni kwere
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Nihivi inategeme intrest ya mtu ila zote nibomba!!24 inaonyesha jinsi wakubwawanavyotumia vyombo vya dola kutekereza uharifu wao nakana wewe nimpenzi wa policy za marekani kuhusu ugaidi utaona 24 ninzuri au the unit,Najama unapenda kujua waarifu wakimataifa wanavyoweza kujipenyeza kwenye magereza nakufanya watakalo na jinsi wanaweza kuwahonga wakuu wa magereza na waharifu kutoroka na kuona jinsi dola inavyoweza kuwasaka waharifu!!Ila kwangu mimi ninapenda 24,the unit,Command in chief.
   
 9. B H

  B H Senior Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  prison break mwanzo mwisho
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Prison break
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  kitu T-bag....huyu ndo alikuwa kla nikiangalia prison nabaki nacheka tu......

  hakika prison iko juu......
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Prison break imetulia!
   
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,780
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  ukifika Gereza la Sona unakutana na mtu anaitwa Lechero.
  Kisha kabla hujakaa sawa kuna mbabe anakuja kukutupia mguu wa kuku mbele yako.
  Unajuwa inamaanisha nini hapo?
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,592
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  hapo mkuu umenibamba..., ndo nyumbani kabsaaa., hapo ongezea na The Event..!
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  24 hrs/one hell of a day.
   
 16. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,221
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  24 Noumarrrr'...prison Break haina ishu!
   
 17. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #17
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Prison break ni noma tu kwa vile haina mbwembwe nyingi,ni ujanja wa kuwazidi kete mapolisi na maafisa magereza na then kujiachia kitaani. 24 ni noma zaidi katika swala zima la kiintelijensia,Bauer na chama lake wanatumia intelijensia na teknolojia ya hali ya juu kupambana na ugaidi wa hali ya juu(uliokubuhu).Ukifumba macho na kufikiria fasta fasta,then 24 inatisha vibaya mno!!
   
 18. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani, mapolinganisha movies au TV series mjue mnalinganisha katika mazingira gani ! Sio mnaangalia tu movie na kusema movie fulani ni bomba! Kuna vitu vingi vina-determine kuwa movie fulani ni nzuri na fulani ni mbaya. Something like GENRE, je movie ina maudhui gani! Is it sci-fi, action, thriller, comedy etc! Mie naona movie zote ni bomba!
   
 19. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I don't have a dog in this fight lakini kulinganisha prison break na 24 ni kuwatukana creators wa 24.
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Prison break is the best
   
Loading...