Printer HP LaserJet P1120

Printer HP LaserJet P1120

yukamr25

New Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Habari wakuu. Samahaani naomba kuuliza
-Range ya Bei ya printer mpya
-Changamoto yake
-Ufanisi wake wa kazi
Kwa wale wanao/waliowahi kuitumia

Nimevutiwa nayo, kabla ya kuchukua mamuzi ya kuinunua nmeona kwanza niwaulize humu tafadhali mwenye kujua anisaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom