Ungeweka na bei za printer kuvutia watu zaidi kukutafuta.Mkuu ukihitaji kuagiza Printer nicheki nikuagizie kutoka Dubai.
Wharsapp:+971527794329
107a Laser Printer,hii ndio iko updated.Ungeweka na bei za printer kuvutia watu zaidi kukutafuta.
TAFUTA EPSON PRINTER INAYOTUMIA WINO WA MAJI UTAKUJA KUNISHUKURUHabari wakuu. Samahaani naomba kuuliza
-Range ya Bei ya printer mpya...
Mkuu kuwa serious. Hiyo printer haizidi 300kIPO vizuri na haina shida.
Kwenye kuinunua andaa angalau 1.5M
Kariakoo ni 300,000/= iko vizuri sana kwa upande wa printer ndogza hpHabari wakuu. Samahaani naomba kuuliza
Kwa wale wanao/waliowahi kuitumia
- Range ya Bei ya printer mpya
- Changamoto yake
- Ufanisi wake wa kazi
Nimevutiwa nayo, kabla ya kuchukua mamuzi ya kuinunua nmeona kwanza niwaulize humu tafadhali mwenye kujua anisaidie
Kwa upande wa epson speed ni ndogo. Na changamoto ya hiyo p1102 ni kuwa haiscan wala kutoa copyTAFUTA EPSON PRINTER INAYOTUMIA WINO WA MAJI UTAKUJA KUNISHUKURU
Canon 2206 ni mashine na nusu. Uzuri wa hizi mashine ni kuwa EPSON anamaliza mchezo kwenye printer wakati CANON anamaliza mchezo kwenye photocopier. Ukipata hiyo combination hapo huwaziKuna kadudu fulani ka-hp tunako ofisini wino wa 50,000 haumalizi hata mwezi, yaani kwa matumizi ya ofisi.
Sasa hivi tunatumia canon 2206 mashine kazi hii kwanza ukiwasha inaunguruma kama scania.
Bei yake ipoje mkuu? Na wino wake je?Kuna kadudu fulani ka-hp tunako ofisini wino wa 50,000 haumalizi hata mwezi, yaani kwa matumizi ya ofisi.
Sasa hivi tunatumia canon 2206 mashine kazi hii kwanza ukiwasha inaunguruma kama scania.