Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

Huyu Princess Bagenda na Princess Diana si walikufa kipindi kimoja sasa huyu mwingine kafufukia CCM?
 
huyu mzeee njaa itampeleka pabaya mimi bagenda ni bosi M.E hapa kwetu lakini hana jipya zaidi kutembea vocha mkononi kuomba hela za entertain na makundi kama alivyokuwa nccr
 
Hii Mvc ni kirusi hatari inawalisha watu ujinga sana
 

Njaa mbaya sana...ila kufulia kisiasa ndio kubaya zaidi
 
Namshauri atumie muda wake kuandika kitabu kuhusu tumaini lililokufa ili walau awezwe kusikilizwa kwani 2005 aliandika kijitabu kuwa JK tumaini lililorejea ...

Sasa anapaswa kuandika kingine kuelekea 2015 kuwa CCM tumaini lililopotea ili walau watu wajue kumbe anaweza akafikiri kwa ufasaha.......
 

Bagenda ni MERCENARY; ukiwa na pesa unamkodisha anaandika yale mambo unayotaka mradi apate bahasha.
 
Kweli huyu ni mjanja, kama aliamua kuzaa na secretery wake au huo ndo ujanja wa magamba????

huyu ni dizaini ya wazee wachache walitufikisha hapa . unaambiwa ujanja wa mjinga ni ujinga wa mjanja.
 
Hivi huyu alishaacha kazi kule TISS?? Au naye anaendelea kama mzee wa Kiraracha?

Hata hivyo, hana jinsi zaidi ya kutumikia wale wanamuweka mjini!!

Ila ingekuwa bora akajikita kujadili yale mambo anayoyajua vizuri kuliko kudandia treni kwa mbele. Na hata hivyo, inaonesha ana hang over ya kutisha....Anaposema kuwa makundi ndani ya lichama lao la CCM yalinufaisha CHADEMA, ana maana kuwa kwa sasa makundi hakuna??

Ni bora akakaa kimya ili tuzidi kumsahau.....Hivi hawa jamaa wa BKB wana matatizo gani??....au ndo mwendo wa kutafuta mkate kama ndugu zake Salva na Mhingo Rweyemamu???!!
 
Kiboko ya Prince Bagenda ni Wilson Masilingi! Akisikia tu hilo jina ananywea twiiiii kama kavuta kitu cha Arusha!

TUMBIRI (PhD, University of Hull - United Kingdom),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Thomas Ngawaiya, Masumbuko Lamwai, Aman Walid Kaborou, Tambwe Hiza, Shaibu Akwilombem. Mkiwajuwa hawa vyema afya zao kisiasa kwa sasa baada kurudi CCM, hapa tunapaswa kuishukuru CCM kwa kuwauwa kisiasa mapema wasaliti wote kabla ya madaraka ya nchi kurudishwa mikononi mwa Umma mwaka 2015. Hongera CCM.
 

Kwa hyo hawezi kua mpinzan cku zote je ccm ikianguka na kua upinzan itakuaje? Huyo ni mfuac wa siasa majitaka
 

Ndo anajitahidi kujionesha kuwa yupo. Hivi kile kitabu chake cha 'JK: Tumaini lililorejea' kiliishia wapi baada ya yeye kutoswa uongozi na JK?
Dah....!! aliandika hadi kitabu cha kumsifia JK?
 
Afadhali amekiri kuwa anafanya siasa za kuganga njaa
 


muulize na ile ya Vuagamba ya CCM kilikua ni chama kingine ndani ya ccm ? ama anacho fanya nape sasa hivi kuzunguka mikoani Nimwanzao wachamakingine ndani ya ccm

Nivigumu sana nyani kuona kundule
 
Huyu naye si aende kule kijijini ajue moja...bado yupo kwenye hizi siasa?[/



kwani kuna aliyemwomba ushauri huyo prince juu ya kuimarisha chama kingine? aimarishe tu chama chake bila kuangalie wengine wanafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…