Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

Bila kuandika hizi habari atakula wapi? Na yeye ni mlafi?
 
huyu
naonekana alilala usingizi wa pono M4C imemkurupusha usingizini hivyo anaweweseke.!
 
Duuh! na huyu nae anataka ajadiliwe!
 
 
Bagenda hana madhara kwa sasa. Kwani kitabu chake cha Tumaini lililorejea kimetimiza agano?
 
 
Ha ha ha ha ha... huyu jamaa nasikia ni kibarua wa RA pale Sinza Kijiweni a.k.a New Habari Corporation...Msitegemee jipya toka kwake.. anandikka kuwafurahisha mabwana zake.. political theories zake unapplicable nowadays...siku moja nikutana naye Jolly Club mida ya saa 3 asubuhi Jumapili last year anabwia supu. Nikamuuliza vipi siku hizi umerudi kuwa kijani kijani? akanijibu '' mtu hawezi kuwa mpizani for all his life''..Mwacheni agange njaa zake ana watoto jamani.. Mentally fully depreciated ....MWAACHE
 

Utakuwa ugonjwa wetu huu wakileo ebo!
 
Hivi kumbe bado yupo??

huyu mzee anayemjua vizuri ni mimi ni M.E hapa kwetu mimi bosi wangu lakini kweli thinking capacity yake ni mtoto wa darasa la kwanza njaa inaamua ana nja mbaya na majungu ile mbaya bagenda ni totaly kichaa
 

Hivi kweli by any standards "Mtoto wa mfalme" Bagenda ana ujanja gani wa kumfanya ajinasibu hadharani?! ama kweli Nyani haoni makalio yake.......!
 

Pia ni mjinga sana mbona asitetee wahaya na wao walipwe fidia ya migomba yao kama wakuleeeee wanaolipwa Ng'ombe baada ya kufa kwa ukame anakuja na agenda za kizamani tena za mkoloni kweli wameshikwa pabaya mbaka 2014 watakuwa wamechanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…