Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,252
Bilionea Prince Al-Waleed bin Talal mwenye utajiri unaozidi $ billioni 17 amekamatwa kwa tuhuma za rushwa, amekamatwa na wenzake karibia 50 na wanaendelea kushikiliwa katika hoteli ya kifahari.
Billionea huyo ni maarufu kwa kuwekeza katika kampuni kubwa za marekani ikiwemo Twitter na Apple.
Wengi wanasema hii ni hatua ya mfalme wa Saudi Arabia kuwaondoa wapinzani wake nchini humo ili kumwezesha mtoto wake Mohammad bin Salman kuchukua madaraka bila upinzani.