Prince Al-Waleed bin Talal wa familia ya kifalme Saudi akamatwa

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,493
2,247
prince1.jpg

prince2.jpg

Bilionea Prince Al-Waleed bin Talal mwenye utajiri unaozidi $ billioni 17 amekamatwa kwa tuhuma za rushwa, amekamatwa na wenzake karibia 50 na wanaendelea kushikiliwa katika hoteli ya kifahari.
Billionea huyo ni maarufu kwa kuwekeza katika kampuni kubwa za marekani ikiwemo Twitter na Apple.

Wengi wanasema hii ni hatua ya mfalme wa Saudi Arabia kuwaondoa wapinzani wake nchini humo ili kumwezesha mtoto wake Mohammad bin Salman kuchukua madaraka bila upinzani.
 
Anapambana na Rushwa na Ufisadi kama hapa Tz.

Bila shaka atakuwa amemuiga Rais Magufuli!!
 
View attachment 625505

View attachment 625506
Bilionea Prince Al-Waleed bin Talal mwenye utajiri unaozidi $ billioni 17 amekamatwa kwa tuhuma za rushwa, amekamatwa na wenzake karibia 50 na wanaendelea kushikiliwa katika hoteli ya kifahari.
Billionea huyo ni maarufu kwa kuwekeza katika kampuni kubwa za marekani ikiwemo Twitter na Apple.

Wengi wanasema hii ni hatua ya mfalme wa Saudi Arabia kuwaondoa wapinzani wake nchini humo ili kumwezesha mtoto wake Mohammad bin Salman kuchukua madaraka bila upinzani.
Wanagombea madaraka hawa.
Kutoka RT news wanadai walitaka Al-Waleed na wenzake watoe pesa kwa ajili ya kuboost uchumi ambao inasemekana haufanyi poa kutoka na Saudia kujiingiza kwenye migogoro ya vita huko Yemen ambayo haijazaa matunda wakati wanazidi tumia ela kila uchwao.
 
View attachment 625505

View attachment 625506
Bilionea Prince Al-Waleed bin Talal mwenye utajiri unaozidi $ billioni 17 amekamatwa kwa tuhuma za rushwa, amekamatwa na wenzake karibia 50 na wanaendelea kushikiliwa katika hoteli ya kifahari.
Billionea huyo ni maarufu kwa kuwekeza katika kampuni kubwa za marekani ikiwemo Twitter na Apple.

Wengi wanasema hii ni hatua ya mfalme wa Saudi Arabia kuwaondoa wapinzani wake nchini humo ili kumwezesha mtoto wake Mohammad bin Salman kuchukua madaraka bila upinzani.
Huyu ndio kama Manji wa Saudh Arabia
 
Back
Top Bottom