Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Prince wa Saudi Arabia anayetuhumiwa kutoa amri ya kuuwawa kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi ametoa ofa ya Bilioni £3.8 , sawa na Trilioni 11.4 za Tanzania, ili kuinunua timu ya Manchester United ya Uingereza
Inasemekana kwamba wamiliki wa timu ya Manchester United wamekuwa wakifanya safari sa kwenda Saudi Arabia kuonyesha dalili za kukubali ofa hiyo, japo kuna maneno kwamba kuhusika kwa Mohammad Salman na mauaji ya Khashoggi kunaweza kukawa kikwazo cha kumuuziatimu hiyo.
Suala la kujiuliza ni iwapo umiliki wa Prince Mohhamad Salman wa Saudi Arabia na tuhuma zake nyingi za mauaji kutaathiri maelfu ya watu kuendelea kuwa mashabiki wa timu hiyo, na iwapo wachezaji watakuwa tayari kujiunga nayo.
Ikiwa wewe mwana JF ni shabiki wa Manchester United, utaendelea kuwa shabiki wa timu hii chini ya umiliki wa huyu Prince wa Saudi Arabia mwenye kutuhumiwa mauaji pamoja na yale ya Khashoggi?
Source: Manchester United 'receive whopping £3.8BN takeover bid' from Saudi Crown Prince Mohammad bin Salman who hopes to tempt Glazers into selling the club before next season