Prime minister wa Thailand and Obama flirting

Prime minister wa Thailand and Obama flirting

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Yaani wa marekani ni kiboko .madai prime minister ni next first lady nimechekaje wivu wa Michelle Obama .
 
barack Yingluck Shinawatra.jpg
Ila bibie katulia...
 
Clinton Democratic, Obama Democratic ... hawa wanalisishana katabia.
Bush eats Rice and Rice eats! kaazi kweli...
 
Ana damu ya kijaluo huyo,Michelle avumilie tu
 
Hizi habari zina ukweli wowote au siasa.com
 
Habari ni za kweli amemhama na anakaa humo jumba jeupe ila vyumba tofauti, isitoshe ile nyumba yake Michelle ya Chicago anamtimua Obama na ameahidi kupata hela nyingi sana kama wata divorce
 
Huyu mama akiplus na zile hasira za SA hotatenaneeeeeeeeii Obama atakiona cha mtema kuni
 
Lkn mwanamke aki divorce toka kwa mtu mashuhuri lm obama, obama ndo kwaaanza mi oportunity inamjalia warembo wa kumwaga.halafu hizo picha wapo kiserikali, kwenye podium sasa michele wivu wa nini? Wangekuwa chumbani sawa
 
huyo madam hana mpango pia. anaonekana ana kisirani
 
Back
Top Bottom