Pride ya Tanzania katika Afrika, nini kifanyike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pride ya Tanzania katika Afrika, nini kifanyike?

Discussion in 'International Forum' started by Magunga, Apr 15, 2012.

 1. M

  Magunga Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu wadau, nimekuwa nasafiri katika nchi nyingi za Afrika, nimegundua ile sifa ambayo Tanzania tulikuwanayo hasa hasa kwenye ukombozi wa Afrika na misimamo thabiti kwenye mambo ya kimataifa imepungua. Vilevile ukiongea na vijana wengi hapa Tanzania hawajui mchango wa nchi yetu katika ukombozi wa nchi kama Uganda, Angola, Msumbiji, Afrika ya kusini, seycheles etc. Ni muhimu historia hii ikatunzwa na kuelezewa kwa vizazi vyetu ili kurudisha ile pride ambayo watanzania tulikuwa nayo na vilevile kurudisha status yetu katika Afrika na Dunia. Nadhani hii pride ikirudi tunaweza kuitumia vizuri confidence hii katika nyanja zingine kama uchumi na siasa za kimataifa. Naomba michango yenu nini kifanyike maada hii social capital tuliyojenga ni kubwa sana na naamini bado tunaweza kuitumia vizuri hata sasa
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  How do you suggest we go about that? hatuna professionals!
  vipindi vya watoto ndio vilikua presented na kina Lulu.
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Ukombozi gani Uganda? The Ugandans were fine under Amin. Only Nyerere did not like him for personal reasons (his friend). He supported the rebels and Amin had to react like anyone would.
  That's the most stupid war Tanzanians died for, and since, Tanzania has not recovered.
  Go to Uganda today and ask who would they prefer Amin or Museveni? Ugandans can join in this. Please educate this Bongoman who seems to have swallowed his country's propaganda bait,line and sinker! (Or as they say)
   
 4. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Wakenya wengine mawazo yao bwana! Mtu unakuwa na guts za kusema eti "The Ugandans were fine under Amin"!!! wewe unafikili dunia itakuelewa kweli kuhusu unfortunate remarks zako hizo? hebu kahazime DVD ya The last King of Scotland ndiyo utajuwa siyo kweli unaposema eti "The Ugandans were fine under Amin" na actually aliye andika script ya kanda hiyo ali-water-down sana ukatili wa Iddi Amini kwa RAIA wake.

  Labda nikuhulize swali: Kwa nini jeshi lenu limehamua kuivamia Somalia-neseme eventually, jibu utakalo pata hapo nadhani hutakuwa na ubavu wa kuzungumzia mambo ya AMINI tena. Waganda hawana muda wa kulumbana na Watanzania kwa kuwa wanajuwa tulivyo wakomboa kutoka makucha ya nduli, nyinyi ndio wenye usongo na nchi yetu mnatumia social network yetu kwa malengo maalumu mnafikili hatuna akili, mbona Waganda awako hivyo! Wakenya wanakuwa na USONGO na nchi yetu as if TANZANIA iliwahi kuvamia Kenya vile, kwa nini?

  Mimi nazaliwa mpakani mwa Uganda na TANZANIA najua kuzungumza Lunyankole, Luganda hata Kinyarwanda nakielewa - in short najuwa kilichokuwa kinaendelea wakati wa enzi za AMINI, wewe uwezi kutoka Kenya na kutupa somo kuhusu vita vya Uganda, mtu umekasilika as if Kenya ili-contribute chochote katika vita hiyo, kwani vita hivyo viliathili vipi uchumi wa nchi yenu; kuna makosa madogo madogo tuliyo fanya kwa mfano: hapakuwepo na haja ya kupigana mpaka kwenye mipaka ya SUDAN, au kuendelea kukaa Uganda unneccessarily!

  Please soma mada inazungumzia nini, labda nikukumbushe inasema hivi:Pride ya Tanzania katika Afrika, nini kifanyike? tusijaribu ku-derail mada hapa. Mimi nakushauri kama huna cha kuchangia katika mada hii, please wachie wenye cha kuzungumza watujuze.
   
 5. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Nani alikuambia Sijali ni Mkenya, just take your time and read his previous posts? punguza jazba na chuki na ujibu swali ulivyoulizwa, si kukurupuka tu na witch hunting. Adui ya Tanzania si waKenya, ni nyinyi wenyewe, usiharibu nyuzi kwa chuki zako za kipuzi. Used to like your comments lakini tangia uje hapa International Forum, nimebadilisha mawazo yangu sana kukuhusu.
   
 6. b

  bzar Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I agree with you.mbona chuki? Mtu hajajitangaza ati yeye ni mkenya.kwani kupunguka kwa sifa za tz ni makosa ya wakenya? unadhani Kenya kuna department of tarnishing Tanzanias name? some guys should clear prejudice and stick to the topic.
   
 7. A

  Alpha JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Probably the stupidist post i have ever seen on this board, and i am not exaggerating.
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kwani umemjulia wapi:)
   
 9. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Oh sorry Smatta, the author is a Ugandan - My sincere apologies for Kenyans. Please carry on reading my posts, 'am gonna amend spitting fire; wagambanao ndio wapatanao, hata ingekuwa wewe naona husingesita kuitetea nchi yako na the late mwalimu Nyerere.
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,003
  Trophy Points: 280
  Hiki ni kiswahili ama? hamna neno tangia sema tangu...
   
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu twende nao hivyo hivyo, sisi tunawasahihisha kiswahili wenyewe wanatusahihisha kingereza, hata hivyo Smatta anajitahidi sana kuandika kiswahili sijuhi anatoka TAVETA au Mombasa!
   
Loading...