Pride of tanzania

Pride of tanzania

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-0-1DAA033600000578-770_964x686.jpg
 
Mkuu Englibertm, hilo neno utarii umeliandika hivyo kwa makusudi kwa kuwa kuna ujumbe unataka kuufikisha au ni makosa ya kiuandishi? Nilitegemea utumie neno "Utalii" sio "Utarii".

Asante kwa picha lakini.

Tiba
 
Nyati huyo inaonekana simba akikaa vibaya anaweza kuuwawa hapo maana wamekuja wengi sana nae hana hofu anapambana
 
mi nimependa sana hizi picha.je huo mpambano alishinda nani?
maana naona simba wanaondoka tu bila hata.kitoweo
 
Mkuu hawa ni wazungu hawa kwa mtazamo wangu ni watu wa peponi yaani wanatoka ulaya na kuja kucheki wanyama na kamlima kilimanjaro tena kila sehemu wanapopita ni kulipa uhuru na bado madege ya kuwalita na kuwarudisha kwao ni gharama kubwa lakini sisi wabongo yanatushinda kwenda tena huwa hatuna ya kwamba inchi yetu tumeruzukwewa mali asili yaani tumekuwa kama vipofu kuona mwezi na mwisho labda kwa kutoa chembe chembe za matongo ya macho ni uwanja wa saba saba tuu ndio hapo huwa tunajiuliza kumbe hizi ni rasilimali za kwetu na siyo kama tunavona picha za wazungu
 
Mkuu Englibertm, hilo neno utarii umeliandika hivyo kwa makusudi kwa kuwa kuna ujumbe unataka kuufikisha au ni makosa ya kiuandishi? Nilitegemea utumie neno "Utalii" sio "Utarii".

Asante kwa picha lakini.

Tiba
thankyou noted
 
Ningekuwa miongoni mwa hao watalii ningehuzunishwa sana na kushuudia huyo mbogo akiuwawa na kufanywa kitoweo live, huwa na penda tu kuona kama makala kwenye runinga. yaani mimi hata kuchinja kuku mimi mwenyewe huwa ni shida!
 
KE au ME
 
Back
Top Bottom