Pride Comes Before the Fall: CHADEMA inabidi wajipange upya

 
Chief ukae ukijua hapo pia kuna vita ya kimaslahi. Kuna vyama vimeona fursa ya kuchukua nafasi ya chadema baada tu ya kuonyesha hawana mpango na uchaguzi mkuu.
 
We jamaa mbona hueleweki? Ulikuwa unamuunga mkono lissu kwenye suala zima la no reform no election. Naona dizain km umeanza kumkataa!
Mimi nilimuunga mkono Lissu? Hebu nionyeshe mahala ambapo nilimuunga mkono…..maana yawezekana ukawa ulinisoma mahali halafu hukunielewa kama ilivyo kwa watu wengi humu.

Yawezekana ulinisoma mahala ukaona nakubaliana na Lisu kwenye jambo flani basi ukadhani namuunga mkono kwa kila kitu kwa 100%.

My philosophy: no one is above criticism and no one is below praise.

If you do good, you’ll get your plaudits. If you eff up, you’ll get your lashes.

It’s not rocket science. It’s very simple.
 
Je unaunga mkono no reform no election?
 
Wewe ni muhafidhina tu na huna lolote ,mtu yoyote mwenye akili hawezi kuwa chawa.. wewe ni Mataga pro max
 
Chief ukae ukijua hapo pia kuna vita ya kimaslahi. Kuna vyama vimeona fursa ya kuchukua nafasi ya chadema baada tu ya kuonyesha hawana mpango na uchaguzi mkuu.
Hiyo yote ni kwa sababu ya unilateral decision ya CHADEMA. Suala la uchaguzi sio la chama kimoja. Kama CHADEMA ingewashirikisha hao wapinzani wenzao tangu mwanzo kusingekuwa na hii temptation iliyopo sasa.
 
Hiyo yote ni kwa sababu ya unilateral decision ya CHADEMA. Suala la uchaguzi sio la chama kimoja. Kama CHADEMA ingewashirikisha hao wapinzani wenzao tangu mwanzo kusingekuwa na hii temptation iliyopo sasa.
Chadema walikutana na uongozi wa act na walikutana kwenye closed door sijui waliongea nn. Ila ukae chief kwenye siasa zetu hizi za kiafrika sometimes ni bora kuwa pekee yenu maana usaliti ni kugusa tu.

Maana mnaweza kuwa mnapigania jambo lenye faida kwenu wote ila wenzako wakakusaliti asubuhi tu! Kwa pesa mbuzi.
 
Binadamu nao wameanza kuwa kama bendera kufuata mwelekeo wa upepo.
Basi ikiwa CCM mlimuunga Mbowe na akashindwa mjue hata kwenye chaguzi huwa mnashindwa pia.Hii ina maana kuwa uchaguzi ukiwa wa haki na huru CCM inaambulia patupu.
Kusema CCM ilimuunga Mbowe ili Lissue ashinde hii pia ni mental illness nyingine
 

Tukitoa ACT Kuna Chama gani kingine ambacho kikp serious na Upinzani? Au unataka kusema CHAUMA, Sijui TADEA, Hizo ni prpject za CCM wenyewe na wapo hapo kupiga ruzuku na kutengeneza mazingira ya vyama vingi
 
Naimani Waliwashirikisha.

Lkn kwa Hesabu za ACT, ikiwa CHADEMA itaanguka na Uchaguzi utafanyika basi wao ndo wanageuka kua Chama kikuu cha Upinzani.

Hii ni zaidi ya Fursa kwao ambayo haijawai kupotea
 
Wanazi wa CHADEMA waliopo hapa JF huwezi uka reason nao.

Wako blinded na ushabiki kupita maelezo.

Mfano yule Salary Slip utaweza ku reason naye jambo gani, kwa mfano?
😂
Wengine tukiongea ukweli tunaonekana sisi n CCM 😂

Kutwa wanaanzisha mada za kujifariji ila mwngn tukianzisha mada ya kuwakosoa wanasema wametuachia uchaguzi sasa kwann tunaendelea kuwafuatilia ila wao n ruksa kuanzisha mada kujifariji 😂 mbaya zaidi unakuta ni mijitu mizima kila muda ni kupandisha uzi mpya ety wataenda kwenye bunge la Ulaya kushtaki 😂
 
Tukitoa ACT Kuna Chama gani kingine ambacho kikp serious na Upinzani? Au unataka kusema CHAUMA, Sijui TADEA, Hizo ni prpject za CCM wenyewe na wapo hapo kupiga ruzuku na kutengeneza mazingira ya vyama vingi
Kwahy vyama vingine kutokuwa serious ni kosa la ccm?
Kwahy leo hii ww ukianzisha chama pia Tuseme n CCM B?

USA kuna vyama vingapi na vyama vinavyounda serikali kila mara ni vyama gani?
Kwahy hvy vyama vingine vilianzishwa ili kusapoti hvy vinavyounda serikali kila mara?
 
ACT Wazalendo kimejipanga vizuri
 
Kila mtu ni mchambuzi wa siasa.
Ikiwemo wewe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…