ndege tunduni?
bi dada.....kope zangu tafadhali....khaaa.....siku zote hizo....
nchunie hadi valentine ipite. Nataka nije niuzie sura yaeda.
ai wewe...tafuta wa kwako bana......
nenda mianzini pale kuna bar inaitwa ma.ta.ko bar utamkuta preta, au kenny garden au pama B, humkosi binti huyu.
ndo nataka nizipige hizo....na kucha zangu za unga........nataka nimechishe.....
ndo nataka nizipige hizo....na kucha zangu za unga........nataka nimechishe.....
hizo kucha zako za unga wa ngano au sembe! Kama ni ngano shosti zinabanduka fastaaa.
nenda mianzini pale kuna bar inaitwa ma.ta.ko bar utamkuta preta, au kenny garden au pama B, humkosi binti huyu.
Kwani za kubandika zile matirio gani mdada?
Ama ndo za unga hizo...
kabla sijakujibu, wewe ni me/ke?
Mi ni male...
mmh! Mbona unataka kujua mambo yetu?
Aah Husninyo...
It is not fair... Kuna wakati nikimpata wangu,nisishangae.... Viwe vitu vya kawaida...
hizo kucha zako za unga wa ngano au sembe! Kama ni ngano shosti zinabanduka fastaaa.