Preta Unaweza Hii?

Preta Unaweza Hii?

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Kumbe wanawake sio Legelege!
Wanawake.jpg
 
Mods naomba mtoe hio picha yangu sasa hivi! This is violation of JF rules...
Hairusiwi kuweka picha ya member bila ruhusa!
 
Ulikuwa Sudan ya kusini hapo?
 
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!
 
Hii lazima ni Somalia maana huku kwingine hakuna biashara ya wanawake kubeba AK 47 au kufanya kazi kama nao ni askari jeshi.
 
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!

khaa.....nimekumiss ujue....

Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!

PJ hii ya KUPIMA OILI inahitaji new thread khaaa!
 
Back
Top Bottom