Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Duh! nina uhakika hapa preta hata kunyanyua hilo chuma hatoweza.
Usidharau wembamba wa reli..........
Duh! nina uhakika hapa preta hata kunyanyua hilo chuma hatoweza.
Usidharau wembamba wa reli..........
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!