:::Preta & El-Toro:::

:::Preta & El-Toro:::

yaani nimeasi mapishi, ila na huko pia uko fiti. hapa naona talaka inaninyemelea, this wknd nitajirejesha tena kwenye fani. ila sasa hilo limbwata mi nataka la kujengea ghorofa, sio la mapenzi,lol!

Hamna wala nikujaribu tuu..
Nway kuna mganga mmoja
namfahamu mwehhhh
Huyo atakusaidia kwa lolote na chochote
....... Muombe tu basii .......

Sasa idara ya mapishi waionaje dear??

my dear......this is not a joke.......missed you though.....

Preta! Mmmmmm!!!!

Really? Au nimekosea kusoma! Embu ngoja kwanza niondoe hili kengeza nipate kusoma vizuri!

'Mekusoma Afrodenzi, umalenga umeiva,

Hadi nimepata ganzi, sijaji buku kwa kava,

Preta kanyakua penzi, El-Toro bonge la feva,

Mdumu kwenye kitanzi, Kila la herini ova.

Hahahaha loohhhh
Hiyo ova imenichekesha loohh

Nywa..

Wahenga walisema, dunia wawili wawili
Na Sigma asema, mshikamane kandambili
Msizame kisimaa, moja moja mbili mbili
Preta akisimama, chini aka kaaa tumbili ..

Khaaa
Hutaki kuwasiliana na ndugu
siku hizi na dhani ajili ya hiyo Fuso..
Mwehhhhh lakini bado twakupenda ..
Huwezi amini Preta alikuwa hachokozwi walikuwa wanaambiana 'huyo mwacheni kakake mkorofi'.

Kama anywi mbege hana maana huyo

Back
Top Bottom