:::Preta & El-Toro:::

:::Preta & El-Toro:::

embu chukua maamuzi magumu AD,tufafanulie kinagaubaga nini hasa kimetokea,kuna mtu kavuta mzigo jumla au?

Alaa,
Hivi kumbe bado umesimama
Nje wagonga... ufunguo u wapi
Jamani .. na ndani nikukaribishe...

Hivi bado hujanipata kweli?

'Mekusoma Afrodenzi, umalenga umeiva,
Hadi nimepata ganzi, sijaji buku kwa kava,
Preta kanyakua penzi, El-Toro bonge la feva,
Mdumu kwenye kitanzi, Kila la herini ova.

nimeshatoa... sasa AD funguka basi...! jibu swali la bishanga!

Mbona majibu yote yapo
Hapo juu.. au

hii habari haina ukweli kama Wanajamvi mnavyotaka kuamini:
Someni Post ya EL-TORO: Natafuta serious girl friend, katika forum ya Love Connect.
Huu ni just muendelezo wa hio Post.

hii habari haina ukweli kama Wanajamvi mnavyotaka kuamini:

Someni Post ya EL-TORO: Natafuta serious girl friend, katika forum ya Love Connect.

Huu ni just muendelezo wa hio Post.

Asante

my dear......this is not a joke.......missed you though.....

aisee!

Back
Top Bottom